Mhe.Sungu Ningestahili Uwaziri Mkuu,Kama Kura Zingekuwa Kigezo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Wapo wabunge sichoki kuwasikia wakichangia bungeni.Mfano ni SUGU leo kasema kama uwaziri mkuu ingekuwa unapatika kwa kura za wananchi,Yeye alistahili kuwa waziri mkuu maana ndio mbunge alipata kura nyingi kushinda wote.
 
Hawa ni lazima wapimwe kabla ya kuingia bungeni, haya madawa ya kulevya ni mabaya sana
 
ni mfano tu..
tusimuadhibu kwa mfano..
ni sawa na kuifananisha ccm na mazombie yanyonyayo damu,hii kilugha huitwa figures of speech !
 
Sugu bhana,,,,Ila ki ukweli Mwanasheria Mkuu anatakiwa awajibishwe,,,,hakuishauri hata kuiongoza serikali kulingana na matakwa ya kanuni na katiba
 
Wapo wabunge sichoki kuwasikia wakichangia bungeni.Mfano ni SUGU leo kasema kama uwaziri mkuu ingekuwa unapatika kwa kura za wananchi,Yeye alistahili kuwa waziri mkuu maana ndio mbunge alipata kura nyingi kushinda wote.
Sawa faiza ally...
 
Sugu ndio mbunge pekee wa mbeya mjini aliye weza kuwa mbunge Kwa vipindi viwili mfululizo toka mfumo wa vyama vingi ulivyo anza ,record ya jimbo hili ilikuwa Sawa na jimbo la nyamagana zamani mwanza mjini na musoma mjini mbunge ana ongoza Kwa kipindi kimojo tu
 
Back
Top Bottom