Keep on laughingYou know what ninacheka sana wagombea was uraisi na wabunge wanapo ona kuwa watu wengi ndio ushindi wala naomba niwaambie kwamba uwingi sio jibu kwani imegawanyika katika sehemu 5
1.wengine hawana kadi yakupiga kura.. 2.wengiine hawajafika umri wakupigakura. 3.ziku yakura hawaji kwa majukumu menigine. 4 yupo na atavaa nguuo rangi zote lakini anajua anachagua Nani???.5.usalama tete Sana mabomu. vitishosho kwa mabosi wao au marafiki or nafamilia yako kwa kifupi umati sio maana sana
Mama yetu anaendeleza kampeni.anajitekenya Mwenyewe na kucheka mwenyewe
ccm tunakosea kumpeleka huyu bara kwa wasomi huyu aende Tanga Bagamoyo Lindi na Mtwara mnavuna aibu tu
Arusha imekuwa Kilombero, Aisee umepaniki mapema hii.Kuja kutuvizia stand ya kilombero na kusababisha usumbufu baada ya kufunga gate la kutokea na kutufanya tuonekana tuko kwenye mkutano wake, ni akili ndogo aisee tuko kwenye mishe zetu mnataka kututumia kama wahudhuriaji
Arusha imekuwa Kilombero, Aisee umepaniki mapema hii.
Arusha imekuwa Kilombero, Aisee umepaniki mapema hii.
![]()
Mheshimiwa Magufuli akimsikiliza Mkazi wa Mbeya aliye kwenda kumuoa
unachobisha Ni nini sasa Arusha Mjini mlifanyia stand ndogo ya daladala maarufu Kilombero na magate yakafungwa najuabhujui maana unatumiwa picha tu tahira we we..
me nlijua arusha ccm haina wafuasi kabisa..kumbe wana nyomi hivyo
Nyomi wapi kaka angalia picha vizuri waliokaa mbele karibu na jukwaa ndo wenye Sare tu hao waliobakia kule nyuma ni watu baki waliotawala mambo yao stand na Sokoni pale, hawa wavaa Sare mama anatembea nao kwa Mabasi pia wanaandaliwa viti ili wachukue eneo kubwa sio ile style ya kusimama wima wima kama Ukawa ambao hufurisha maelfu.