Mhe. Saada Mkuya

Inaonekana wazi kuwa alikusudia kumdhalilisha huyu mama ila aelewe kuwa atakapodhalilishiwa mzee wake, au mkewe,au dada yake ni malipo ya dhambi hii. Inashangaza udhalilishaji huu haujafutwa bado!
 
Mimeno ile imeota kwa spacing halafu eti mtu anampendaaaaaa....mxxxxxii
 
Ingekuwa thread inamuhusu ZITTO KABWE ingeshafutwa muda mrefu,
 
Inaonekana wazi kuwa alikusudia kumdhalilisha huyu mama ila aelewe kuwa atakapodhalilishiwa mzee wake, au mkewe,au dada yake ni malipo ya dhambi hii. Inashangaza udhalilishaji huu haujafutwa bado!

Samahani naomba kujuwa nani kamdhalilisha huyu mama
Mtoa mada kasema anampenda je nikosa udhalilishaji labda kwa wachangiaji ambao huwezi kuzuia
 
Kupenda siyo vibaya. Kama ni zaidi ya upendo kumbuka yule ni mke wa mtu na anawatoto pia, na inawezekana ni umri wa mama yako au zaidi. Jaribu kuwa na staah/heshima kidogo. Siyo lazima kila unalolifikira basi ulitoe hadharani. Kama umeweza kumtangazia hapa basi hutoshindwa kumtangazia chochote.
 
Mke wa mtu tena katoka maternity juzi tu. Hujipendi dogo. Keshapendwa zamani.
 
gonga hapa utampata saada mkuya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…