Huyu mheshimiwa jamani mi mwenzenu huwa nikianza kumuangalia hata sichoki.
Akili yote inahama kabisa yani mi nakuwa nataka tuuuuuuu huyu mheshimiwa jamani.
Akiwa anaongea mimi sauti yake na kale kapozi kake kama anaona aibu hivi mimi uuuuuwiii.
Kupenda huku kupenda jamani mi nawezaje angalau kupata fulsa kusema nae tuuuu huyu jamani.
Aunt katulia huyu wala sionagi kasoro ya maana kwake. Akili yangu yoooote ulingoni tu nimwonapo.
Saada jamani Saada kama upo humu jamaniiiiii hapa PM tu nilianzishe.
I don't care.

Hebu rudi kanyonye, tutolee harufu ya maziwa hapa!
Uzuri wa kitu/mtu upo kwa anayekipenda/anayempenda.... ndiyo maana huwa tunashangaana huyu kapendea nininpale.. moyo wa mtu ni kichakaKhaaa...watu wana vituko.Yule nae kakuvutia nini cha haja,meno?Acha utani mkuu.