Ili uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
Hivi nini msingi wa hoja hii? Mwanakijiji nahisi kunakitu ume-smell au vi-inzi vimeleta na umetunyima sisi. Maana sioni kama JK anaubavu wa kufanya jambo lolote kubwa. Ameshindwa kufanya maamuzi juu ya EPA, Richmond, Muungano, muafaka nk leo avunje baraza na bunge?
Naona wewe ni dizaini ya mbugua wa miaka ile ya 90!! Labda Mwanakijiji atukatie kidogo kama anazo tips zozote. Hapa hatuna mtu mwenye ubavu wa kufanya hata 1% ya hayo anayoyasema. Na bahati mbaya hatuoni mtu yeyote mwingine anayeweza kutusaidia kuigeuza hii serikali, bunge na mahakama kichwa chini miguu juu. Safari bado ni ngumu na ndefu na Masia wetu hajazaliwa.
hapo kwenye red sijakuelewa kabisa, huenda kiswahili changu ni kidogo sana. ufafanuzi tafadhali.
na hatakuwa na uhakika wa kuchaguliwa na kupata uraisi tena...No one is ready to risk!!akivunja bunge na kufukuza mawaziri sina kumbukumbu ya haraka hapa ila nahisi maana yake kikatiba tunafanya uchaguzi tena, itamfanya aitishe uchaguzi....
Anaweza kulivunja, lakini hiyo ina maana inabidi tufanye uchaguzi kabla ya 2010, endapo atalivunja.Bunge linaweza kuvunjwa na rais? Sasa hiyo itakuwa kichekesho....
nimecheka saana kwenye red hapo
Bunge linaweza kuvunjwa na rais? Sasa hiyo itakuwa kichekesho....
Anaweza kulivunja, lakini hiyo ina maana inabidi tufanye uchaguzi kabla ya 2010, endapo atalivunja.
Rais hana control ya Bunge (in terms of its constituency) maana members wake wanaingia mle kwa kuchaguliwa na wananchi kupitia uchaguzi mkuu. Of course ukiachilia mbali wachache anaowateua.
Kichekesho namna gani wakati sheria inamruhusu rais kufanya hivyo!!!???!!!Bunge linaweza kuvunjwa na rais? Sasa hiyo itakuwa kichekesho....
Ili uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
Anaweza kulivunja, lakini hiyo ina maana inabidi tufanye uchaguzi kabla ya 2010, endapo atalivunja.
Ndiyo, inawezekana mkuu na ndio maana tunalia kila siku katiba yetu inampa nguvu nyingi raisi.
Kichekesho namna gani wakati sheria inamruhusu rais kufanya hivyo!!!???!!!
Okay...naona wote mmetoa majibu positive bila evidence yeyote. Nimepitia Katiba chapchap na vifungu nilivyoona ni hivi:
46A.-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
....
na hii hapa:
65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii,
maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka mitano.
Sasa waheshimiwa...ningeomba evidence kutoka kwenu inayoonyesha Rais ana nguvu ya kuvunja bunge, badala ya maneno matupu.
Shukran...