Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,931
Zitto bado ana kazi ya kufanya!Mhe Rais natumai ombi langu utalisikia na kulifanyia kazi, Mhe Rais naomba uwateu wafuatao baada ya kufanya kazi nzuri ya kuua upinzani:-
Mhe Rais watu hawa wamekisaidia sana chama chetu, wafikirie wanateseka sana.
- Zitto Kabwe - Waziri wa Nishati na Madini
- Haruna Lipumba - Balozi
- Fred Mpendazote - DC- Uyui
- Magdalena Sakaya - Naibu Waziri Nishati na Madini
- John Shibuda - DC - Singida
- Mosesi Machali - DAS - Uyui
- John Cheyo - M/kiti wa tume ya uchaguzi
- Mgana Msindai - DED - Singida
Mwanaccm mtiifu sanaZitto huyu huyu wa Makinikia ama?
Kazi gani mkuuZitto bado ana kazi ya kufanya!
Kukitengeneza Chama baada ya Mgwira na Mkumbo kuondoka..Kazi gani mkuu
Kinana si yupo? watashirikiana na PolepoleKukitengeneza Chama baada ya Mgwira na Mkumbo kuondoka..
Hapana,Zitto ana uzoefu zaidi ACT.Kinana si yupo? watashirikiana na Polepole
Wale wote ni CCM, tayari kashateuliwa sasa.Hapana,Zitto ana uzoefu zaidi ACT.
Hayo ni mawazo yako mkuu.Wale wote ni CCM, tayari kashateuliwa sasa.
Wale wote ni CCM, tayari kashateuliwa sasa.
Nishati na Madini MinisterKateuliwa kuwa nani mkuu?
Unakadi ya chama chetu mkuu?Na mimi nina gamba la darasa la saba umnisahau kwenye listi ako mkuu
Ok mkuuHayo ni mawazo yako mkuu.
Kadi ninayo mkuuUnakadi ya chama chetu mkuu?
Utakuwa Katibu Tarafa mkuu, ngoja niongee na Bashite.Kadi ninayo mkuu
Mkuu katibu tarafa unatakiwa walau kashahada Mimi nataka uDC au RCUtakuwa Katibu Tarafa mkuu, ngoja niongee na Bashite.
Mhe Rais natumai ombi langu utalisikia na kulifanyia kazi, Mhe Rais naomba uwateu wafuatao baada ya kufanya kazi nzuri ya kuua upinzani:-
Mhe Rais watu hawa wamekisaidia sana chama chetu, wafikirie wanateseka sana.
- Zitto Kabwe - Waziri wa Nishati na Madini
- Haruna Lipumba - Balozi
- Fred Mpendazote - DC- Uyui
- Magdalena Sakaya - Naibu Waziri Nishati na Madini
- John Shibuda - DC - Singida
- Mosesi Machali - DAS - Uyui
- John Cheyo - M/kiti wa tume ya uchaguzi
- Mgana Msindai - DED - Singida