mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
.Alitoa oda akazikwe kijijini fastafasta bila kuagwa na hata maiti kupoa vizuri. Alisikika mzee flani akiwaagiza vibarakaNimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Lissu hahitaji msamaha wa wanadamu wenye mwili wa nyama na damu
Na wewe ulienda kufanya nini Lumumba, kesho tutasikia umeunga mkono juhudiHahaaa leo nimepita lumumba vijana wanaweka mabando kwenye vitekno vyao lakini mambo hayasomeki.. Balaaaa
Bby mimi kwa level za kitaa wananijua kuwa ni mwenzao mccm.. Hapo lumumba nilienda kuchukua posho maisha yasonge. Haki siku wakibahatika kunijua nanpesa nilizowalia watanichemsha supu.Na wewe ulienda kufanya nini Lumumba, kesho tutasikia umeunga mkono juhudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unakula hela zao siku wakikukamata hata mimi nitajifanya sikujui walahBby mimi kwa level za kitaa wananijua kuwa ni mwenzao mccm.. Hapo lumumba nilienda kuchukua posho maisha yasonge. Haki siku wakibahatika kunijua nanpesa nilizowalia watanichemsha supu.
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.
nani anaestahili kusamehewa??,ajisamehe mwenewe kwanza.Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Wangeiga mfano wa alichokiandika MsemajiUkweliNi kweli kabisa mkuu, maana maneno ya kiswahili yanakwisha sasa. Hivi neno gani hawajaandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajitambua? Mbona wewe ndiyo umewehuka? wewe ndiyo ukatibiiwe Akili maana umezidi umbumbu kwa kiwango cha kutisha, kumbuka wewe na Bashite ndiyo mliokwenda Dodoma kumpiga Risasi na kumsababisha awepo huko alipo sasa iweje awe na upendo kwa magufuli? ni nani anapaswa kumsamehe mwenzake? Yaani mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty ambao ndiyo walitaka kumtoa uhai tena wamsamehe? Acha ufala wako tambua kuwa watanzania wengi wameamka wanazijua Sinema zote za CCM.Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Le mutuz leo kaleta waganga wa kienyeji watano toka Africa ya kati kuungana na wale waganga 65 wa kienyeji ambao wapo nchini wakigharamiwa kila kitu na Bashite kwa pesa za ummaBado mutaomba poo uzuri wa damu ya mtu haimuachi mtu salama Magu atajua sasa kuwa Mungu hadhihakiwi
nani anaestahili kusamehewa??,ajisamehe mwenewe kwanza.
Tundu Lissu ni kichaaNimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Huyu JIWE nama imefikia wakati lijengwe jumba la ibada muanze KUMWABUDU.Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.