Mhe Rais msamehe Tundu Lisu

Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.

Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.

Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.

Mungu amrehemu Tundu Lisu.
.Alitoa oda akazikwe kijijini fastafasta bila kuagwa na hata maiti kupoa vizuri. Alisikika mzee flani akiwaagiza vibaraka
 
Kama anahitaji matibabu yeyote, watamaliza kazi hao hao walioanza kumtibu majeraha ya risasi. Sifikirii una hadhi ya kushauri atibiwe kitu gani na atibiwe wapi.
 
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.

Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.

Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.

Mungu amrehemu Tundu Lisu.

Inaonekana kwako rais ni Mungu hivyo ndio anapaswa kutoa misaada.
 
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.

Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.

Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.

Mungu amrehemu Tundu Lisu.
nani anaestahili kusamehewa??,ajisamehe mwenewe kwanza.
 
Wewe unajitambua? Mbona wewe ndiyo umewehuka? wewe ndiyo ukatibiiwe Akili maana umezidi umbumbu kwa kiwango cha kutisha, kumbuka wewe na Bashite ndiyo mliokwenda Dodoma kumpiga Risasi na kumsababisha awepo huko alipo sasa iweje awe na upendo kwa magufuli? ni nani anapaswa kumsamehe mwenzake? Yaani mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty ambao ndiyo walitaka kumtoa uhai tena wamsamehe? Acha ufala wako tambua kuwa watanzania wengi wameamka wanazijua Sinema zote za CCM.
 
Bado mutaomba poo uzuri wa damu ya mtu haimuachi mtu salama Magu atajua sasa kuwa Mungu hadhihakiwi
Le mutuz leo kaleta waganga wa kienyeji watano toka Africa ya kati kuungana na wale waganga 65 wa kienyeji ambao wapo nchini wakigharamiwa kila kitu na Bashite kwa pesa za umma
 
nani anaestahili kusamehewa??,ajisamehe mwenewe kwanza.

Wa kusamehe ni Tundu Lisu kwani yeye ndiyo alishambuliwa na mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Maliyamungu Bashite.
 
Bashite a.k.a Maliyamungu wa TZ yupo busy na ushirikina hana raha kabsa anatamani ndege amayopanda Tundu idondoke afie humo apate kupumua hana raha kabsa kwani anahofia kesi huko iICC The Hague hataachwa salama.
 
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.

Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.

Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.

Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Tundu Lissu ni kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kumwomba Lissu amsamehe Magu eti Magu amsamehe Lissu? Hivi kati ya hao wawili nani kamdhuru mwenzake? Kadiri mnavyoandika threads za hovyo ndivyo mnavyozidi kutufunulia wahusika wa unyama ule. Naona sasa umetutajia kiongozi wao. Asante Mungu akubariki kumwaga damu ya mtu asiye na hatia ni kujichumia laana na wote waliohusika wamelaanika ndiyo maana wanatapa tapa. Watashindana lakini hawatashinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.

Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.

Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.

Mungu amrehemu Tundu Lisu.

Hujachomwa wala msumari wewe. Fikiria MTU aliyeingiziwa mwilini mwake risasi 16!!!! Kisha akafanyiwa operesheni 22!!! bado zingine zinaendelea!!! Ni muujiza tu kuwa hai. Walaumu wauaji, si Lissu. Lissu ni mpango wa Mungu kuwa hai ili atuambie uhaini wa serikali hii iliyowekwa madarakani na TISS wala siyo sanduku la kura.
 
Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.

Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.

Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.

Mungu amrehemu Tundu Lisu.
Huyu JIWE nama imefikia wakati lijengwe jumba la ibada muanze KUMWABUDU.
 
Back
Top Bottom