Mhe. Pinda apigilia msumari kauli yake: Serikali haitavumilia fujo zozote!

Mheshimiwa waziri mkuu pinda uko sahihi kabisa, nchi zote duniani zina taratibu na sheria na si lazima watu wote wazipende hapana ila lazima watu wote wazifuate na kuziheshimu maana hakuna hata siku moja sheria na taratibu zote zikapendwa na raia wote....... Na ndio maana tunaona kuna watu wameandamana afrika ya kusini kupinga ziara ya rais wa dunia 'obama' lakini haina maana kwamba wao wanawakilisha wananchi wooote wa south africa .....hapana..... Wana maslahi yao wanayoyajua wao ......... Muheshimiwa uko sahihi kabisa kazi ya dola ni kuhakikisha sheria na taratibu za nchi zinaheshimiwa na kufuatwa na ni wajibu wa serikali kukumbusha kuwa utii bila shuruti ni jambo muhimu kwa jumuia yoyote duniani..... Haiwezekani kila mtu au kikundi cha watu fulani wakajifanyia mambo wanayotaka katika nchi ...hapana hiyo itakuwa vurugu tupu.... Taratibu lazima zifuatwe na ziheshimiwe popote. Mungu ibariki tanzania. Siasa za tanzania kwa sasa ni aibu kuna wahuni, kuna watu wako tayari watu masikini wafe ama wadhurike ili wao wafaidike kisiasa............ Ama wapumbavu ndio waliwao.
Mkuu in actual fact kama it takes vichwa maji wapigwe risasi ili nchi itawalike , so be it.
Hao wanaopendelea fujo ina bidi wasikie China inavotawalik , fyoko moja risasi moja.
Na nchi onaendekea kwa discipline moja.
 
At last Mhe Pinda amewajibu wale waliokuwa wakihoji hoji tamko lake la kuwashughulikia kwa kuwapiga watakao leta fujo nchini.
Ni tamko linalotia moyo na kurudisha heshima ya nchi na kudumisha amani kwa nguvu yoyote ile.
Wale waliosikika wakisema nchi haitotawalika wako kimya .
Hata Yule mama Helen Bisimba hajawahi kutolea tamko huu usemi wa nchi kutokawalika, kimsimamo wa haki za binadamu maana yake nini hasa, na nchi itakuwaje isipotawalika.

Katika gazeti la Nipashe leo 29 Juni 2013, Mhe Pinda amenukuliwa:
"Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata kidogo kuendelea kupandwa mbegu za chuki na za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania.

"Serikali itachukua hatua bila huruma kuzima njama hizi mbaya dhidi ya Taifa letu...na vile vile, hatua kali zitachukuliwa kwa mtu yeyote atakayebainika kuhusika bila kujali hadhi na nafasi yake katika jamii".

Wakati huo huo wengi tunajua kuwa kuna mbunge asiyejiheshimu amemtukana Waziri Mkuu mtandaoni.
Na mwingine yuko on record akisema polisi wamerushia mabomu wananchi ili wawaue huko Arusha

Sasa hapa ni patamu, maana waziri Mkuu asingesema aliyoyasema bila kuwa na background information.

Ni vizuri upande unaojisikia unakusudiwa ujisafishe haraka katika jamii, maana wamesha jipakaa tope la kusika na fujo zilzopelekea mauaji nchini.

Kwa kifupi waswahili wana sema CDM should come clean!!
Hizi thread zinanifanya nikumbuke kwetu kwenye ngoma za chagulaga. Siasa ni nzuri sana kama imefikia CCM kuhofia chama kidogo kama CDM. Kesho nachukua kadi ya Chadema hapa Morogoro.
 
We unatia aibu sana wanyaki, yaani ata prof. Mwandosya pamoja na kunufaika na kushika nafasi mbalimbali za uongozi chini ya serikali ya CCM hawezi kuwa na ushabiki wa kijinga kama wako, pinda mkubwa wewe!
Ha ha ha
Wewe haswa ni mlengwa wa Pinda.
Kama huhusiki na fujo majotro ya nini?
 
kumwita mtu -------- si vizuri. lakini kuwasaka watu wanaosema mtandaoni ni jambo lisoloeleweka maana unaweza kumkamata wa kwanza kisha wote wanaomuunga mkono wakaingia na kukutukana tena. kwa hiyo kazi zote zitaachwa ili kuwasaka watu wanaotukana maana watakuwa wengi? mitandao kama ya faqcebook ni ya nje kuifunga huwezi! labda tungeanza kampeni kwa wenye mitandao kudhibiti matusi. sasa napo lugha nazo huyu katukana kwa kiswahili. mwenye tovuti mchina atajuaje hicho kiswahili! JEMA BASI NI KUJITAHIDI KUWA MAKINI NA KUTENDA MEMA matusi yatapungua
 
Hizi thread zinanifanya nikumbuke kwetu kwenye ngoma za chagulaga. Siasa ni nzuri sana kama imefikia CCM kuhofia chama kidogo kama CDM. Kesho nachukua kadi ya Chadema hapa Morogoro.
Mkuu this is a free country.
Jiunge na chama upendacho, na kama mpaka sasa hivi hujajua kwamba waweza kuuwawa na bomu la akina Lwakatare ndani ya CDM then its your own funeral.
 
Kama Pinda anatamka sheria ni mkononi sasa siyo shida mawe mawe yamejaa kibao, unamvizia moja alaf unampa kibati cha uso
 
kama pinda sheria ni mkononi sasa asipate shida mawe mawe yamejaa unamvizia mmoja halafu unampa kibati cha uso.,,
 
kumwita mtu -------- si vizuri. lakini kuwasaka watu wanaosema mtandaoni ni jambo lisoloeleweka maana unaweza kumkamata wa kwanza kisha wote wanaomuunga mkono wakaingia na kukutukana tena. kwa hiyo kazi zote zitaachwa ili kuwasaka watu wanaotukana maana watakuwa wengi? mitandao kama ya faqcebook ni ya nje kuifunga huwezi! labda tungeanza kampeni kwa wenye mitandao kudhibiti matusi. sasa napo lugha nazo huyu katukana kwa kiswahili. mwenye tovuti mchina atajuaje hicho kiswahili! JEMA BASI NI KUJITAHIDI KUWA MAKINI NA KUTENDA MEMA matusi yatapungua
Kweli kabisa mkuu hata Mwanakijiji mtu wa heshima kaongea kuwa Mh Pinda ana akili ya kuku katika posti huko nyuma.
Ni jambo la kujivunjia heshima hata unayetukana.

Lakini mbaya zaidi ni kiongozi kumtukana kiongozi mkubwa zaidi hadharani, hii ni dharau kwa mamlaka.
Kwa upeo mdogo sana wa Sugu ni kufikiri unamtusi mtu, la hasha , ametusi establishment iliyotoa tamko la kuwashughulikia watu wenye fujo.
Na naona ndio maana Mh Pinda karudia tamko hilo kwa ufasaha.

Katika dunia ya leo hata Marekani inapekua mitandao na ndio maana yule kijana Snowden anatafutwa kwa udi na uvumba kwa kutoboa siri hiyo.
Sugu kwa upeo ule ule mdpgo hakujua kuwa mtandaoni kwa siku hizi ni a public area , sawa sawa na kuongea pale Mnazi Mmoja na kutukana hadharani.
 
Kwani -------- ni tusi? Mahakama imeshindwaje kumtia hatiani sugu upumbavu wa pm ni kusahau akili za policcm wake kabla ya tamko anajua wanavyofanyia raia sasa asubiri matokeo ya tamko.lake
 
Viva Pinda.

Kama unaona unaonewa hamia Somalia ama Sudani. Ila serikali haitovumilia wahuni wachache kuhatarisha amani ya Taifa.

Tena wahuni hao ni Nape anayehubiri chuki za udini na ukabila ktk jamii na mwigulu anayeanadaa kesi feki za ugaidi bila kumsahau kibajaji a.k.a chuo kikuu cha matusi
 
Hivi Pinda alitaka aitwe Waziri mkuu mwenye sifa gani zaidi ya alichokisema sugu. Aliwahi kuyakataa magari yanayoitwa mashangingi lakini yeye ndie muhidhinishaji mkuu, aliwahi kupandwa kichwani na jairo hadi leo jamaa anakula kuku na kesho kutwa anastaafu na kulipwa mafao yake safiii kabisa. Pinda anaweza kutoa amri za kuwatuliza kwa kuwapiga chadema tu lakini hana msaada wowote katika kumsaidia bosi wake kuisafisha serikali kwa kuogopa kuwaudhi mafisadi ambao kimsingi ndio nguzo ya chama na serikali ya CCM
 
Viva Pinda.

Kama unaona unaonewa hamia Somalia ama Sudani. Ila serikali haitovumilia wahuni wachache kuhatarisha amani ya Taifa.

Kwa kipindi kirefu serikali hii imefumbia macho chokochoko nyingi. Haya matamshi ya PM hayataleta amani ya kweli kama haki haitatendeka kwa vyama vyote na polisi isiendelee kutumiwa na ccm. Hata JK ameshasema ccm iache kutegemea polisi lakini ndo tunaona kasi ya ccm kuitumia polisi inapamba moto, na viongozi wao wanaosimamia mauaji ya raia wanapandishwa vyeo.
 
Nasikia mkutano ule haukuwa na fujo zozote ila hilo la bomu inaelekea lilisukwa.

Kuondoa mzizi wa fitna ni kuweka wazi ile clip ili aliyerusha hilo bomu ajulikane wazi-awe polisi au vinginevyo.
Sasa ninelekea wiki ya pili hata kwenye Youtube haijawekwa, wasi wasi unantanda kuwa si ajabu aliyepanga swala zima halijaenda kama lilivyotarajiwa-ama sivyo ukimya huu una maana gani?


Clip haiwezi tolewa kwa watuhumiwa labda uwe taahira kama wewe ambao uwezo wa kuchambua mambo kiakili na mtazamo wa mbali umekufa
 
PM kaongelea ishu ya mbunge kuandika matusi kwenye mtandao na mambo ya bomu Arusha au kaongelea kuhusu kauli yake ya kupambana na wachochezi
na wavunjifu wa amani?

au hapo umeamua kuunganisha habari mbili kutengeneza conclusion?
Umemuona eeh? hajui kuwa kauli ya waziri haikuwa na mipaka,popote pale usipofahamiana lugha na askari polisi utapokea kipigo bila kujali uelewa wa askari husika au raia husika , kaului nihakuna majadliano ni kipigo tu! sasa mleta mada anfikiri kuwa ile ni kwa watu wa siasa tu!
 
Back
Top Bottom