Wanajf, hamjambo!
Rc wa Dar alisitisha shughuli za mabaraza ya Kata yanayoshughulika Na ARDHI.
Je kwa nini mabaraza hayo yasisimamishwe nchi nzima kwa kuwa ARDHI ina thamani kubwa kuliko hesabu iliyoandikwa kwny hiyo sheria ya mabaraza ya ARDHI kwani kuendelea kuruhusu mabaraza hayo kutekeleza maamzi ambayo hayako ndani ya uwezo wao kisheria .