Mkapa ameiba pesa zetu alivyokuwa Ikulu, watanzania wakampotezea, then akaamua kutuudhi kule majukwaani Arumeru. Wana Arumeru wamemshikisha adabu yeye na vizabizabina wenzake.
Sijui anawaza nini saa hii baada ya matokeo kutangazwa? Poor him!!
Usithubutu tena kutuletea blahblah zako majukwaani. Watanzania hawakutaki..na kwa taaarifa yako hawataki hata kukuona. You can go to hell...