Wanajamvi salamuni.
Kwa heshima kubwa napenda kuchukua fursa hii kumkumbusha mbunge wetu akumbuke akipotoka, tunajivunia weledi, werevu, umakini na uelewa mpana alionaona kwa maslahi mapana ya kitaifa.
Katika kutimiza wajibu wako fahamu kuwa jimbo lako ni kati ya majimbo ambayo yanafanyiwa fitna wabunge wake muonekane hamfai, na kwa mbali naona umeshaanza kupikia majungu na kuchonganishwa na wapiga kura wako, pamoja,na hayo yasemwayo yapo anbayo ni ya kweli japo mengine wanakuchafua.
Hata kama kazi ya mbunge sio kuleta pesa jimbo ila uhamasishaji na usimamizi bora wa maendeleo jimboni ni kati ya majukumu yako kama mbunge, ila ukweli uliopo sasahivi haueleweki na sisi makada, makamanda, wafuasi na wapenzi wa CDM unatupa kazi ngumu jimboni japo kitaifa na kimataifa unafanya vizuri.
Sahivi umekomaa na makanikia ya maccm wakati kuna shanta gold mine wanafanya uchimbaji miaka 10+ na wanasema wapo katika utafiti ilihali wachimbaji wadogo wakiendelea kufukuzwa kila wanapogusa.
Suala la umeme, shahidi ni wewe mwenyewe nguzo zenye unconnected wires zimeishia kijijini kwako bila kua na tija.
Jimbo zima hakuna josho ht moja functional.
Wanufaika wa fedha za mfuko wa jimbo ni walewale miaka yote.
Wananchi chini ya usimamizi wako vijiji vya taru na mang'onyi walifanyiwa tathimini na shanta gold mine ila waliolipwa ni wachache na isivyo kwa mujibu wa tathimini halisi.
Hakuna miradi ya maji jimboni mpaka zama hizi tunachimba maji ya kunywa kwenye mchanga mitoni.
Ushauri na ombi langu kwako, tafadhali jipange kumobilize wapiga kura wako kupitia ofisi yako kidogo upewacho na serikali na nguvu zao kujiletea maendeleo hata kupitia mtandao wako mpana kimataifa upate hata ufadhili ili mambo yaende.
Unakubalika kitaifa ila umetokana na watu wachache watendee haki ya wakilishi, ni hayo tu.