Kyela ni nyumbani. Naomba muwe na msimamo, kumbuka Mwakasumi alipigana sana kuikomboa Kyela lakini mkadanganywa na Mwakipesile na Baadae Mwakyembe. Naomba amueni kuifuta kabisa ccm huko kwetu jamani. Wengine tuko mbali kikazi lkn nafsi zetu ziko nyumbani. Tunapenda Kyela iwe na Sugu wake na Tundu Lissu wake. Jitaidini kuifuta hiyo ccm. Kwetu Junction yaani njia panda Malawi.