acha uongo hakuna mwenye ubongo kama wako mbeya , wewe uko mkuranga .
acha uongo hakuna mwenye ubongo kama wako mbeya , wewe uko mkuranga .
Haaaaa haaaa, anajaribu kujishaua eti naye ni Nnyambala! Hatuna watu wajinga wajinga huku Mbeya sampuli za akina Laki so Pesa!
Ahsante mkuu kwa kumpa sure.
Wanyakyusa wamesema Mbowe asipokuja na Chopa watamzomea
cdm inachukua jimbo octoba kwa hisani ya UKAWA , hujaelewa nini mkuu ?
Njoo hapa Tukuyu Laxi mi nikupe lunch, inaonekana una njaa sana[/Qmwana! Tukuyu ni kwa wajanja wajinga kama nyinyi hamana nafasi.
Kweli wewe mwehu, sasa kuna shule inaitwa Tandale? Hujielewi wewe. Kamanda Mbowe tuko naye hapa Kiwira road usawa wa kituo cha maoni Policcm! Hii ndiyo Tokyo gamba wewe kaa pembeni.Hapa Tandale sokoni,karibu na Bulyaga, niko uwanjani hapa na makamanda wanakunywa viroba tu
Kweli wewe mwehu, sasa kuna shule inaitwa Tandale? Hujielewi wewe. Kamanda Mbowe tuko naye hapa Kiwira road usawa wa kituo cha maoni Policcm! Hii ndiyo Tokyo gamba wewe kaa pembeni.
Kyela hakuna kulala kimeelewrka.Naomba wanajamvi mnisaidie Mh Silinde amekaaje jimboni kwake?Natamani nimone tena the commimg binge.
Umesomeka vizuri sana viongozi chukueni hatua tuikomboe kyela iwe na mafanikio kama karatumkuu amba. nkya sehemu ndogo sana ya mjini kyela iliyobaki kukombolewa ni kijiji cha bondeni , hasa maeneo ya mkibhege club , kuna haja ya kuongeza nguvu maeneo ya mpanda hadi mahakama ya mwanzo mpaka kyerucu ( now kyecu ) ili tufagie kyela yote .