Tulishasema humuhumu kwamba cdm kyela inalamba jimbo na tukasema tena kwamba vile vikumbo vya ubunge ni changamoto tu , makao makuu ya cdm wanaona kila mahali , mkuu stand alone kama utakuwa ndani ya kikao tuwekee kila kitu , vinginevyo tumtegemee mkuu Amba. Nkya .Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Mbowe anatarajia kuwasili wilayani Kyela siku ya Ijumaa 22 Mei kwa shughuli za ujenzi wa chama makini CHADEMA ambapo anatarajiwa kuzindua Red Brigade, kufanya kikao cha ndani cha viongozi wa chama wa Wilaya pamoja na watia nia wa Ubunge na hatimaye kuhutubia mkutano wa hadhara.
Ujio wa Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni unasubiriwa kwa hamu kubwa na wanaKyela ambao kwa muda mrefu wanatamani sana kumuona Kamanda wa Anga.
Stay tuned...!
Mdau: Kyela Mjini Sokoni.
kuna ushahidi kwamba cdm ni mpango wa mungu , tulianza na mungu tutamaliza na mungu .Tarehe 24 atakuwa Kawe Dar es Salaam for the same mission lakini atahutubia mkutano wa hadhara Tanganyika Packers
Mkuu! Kama sijakupata hivi.Tulishasema humuhumu kwamba cdm kyela inalamba jimbo na tukasema tena kwamba vile vikumbo vya ubunge ni changamoto tu , makao makuu ya cdm wanaona kila mahali , mkuu stand alone kama utakuwa ndani ya kikao tuwekee kila kitu , vinginevyo tumtegemee mkuu Amba. Nkya .
Tulishasema humuhumu kwamba cdm kyela inalamba jimbo na tukasema tena kwamba vile vikumbo vya ubunge ni changamoto tu , makao makuu ya cdm wanaona kila mahali , mkuu stand alone kama utakuwa ndani ya kikao tuwekee kila kitu , vinginevyo tumtegemee mkuu Amba. Nkya .
mkuu amba. nkya sehemu ndogo sana ya mjini kyela iliyobaki kukombolewa ni kijiji cha bondeni , hasa maeneo ya mkibhege club , kuna haja ya kuongeza nguvu maeneo ya mpanda hadi mahakama ya mwanzo mpaka kyerucu ( now kyecu ) ili tufagie kyela yote .
Mimi Oparesheni Tokomeza CCM siipendI, mimi naipenda ile Oparesheni Delete CCMAhsante Erythrocyte, wafia chama na wapenda mabadiliko tutaelekeza nguvu zaidi vijijini na maeneo kama hayo kwa kutumia Operesheni Tokomeza CCM ambayo inakuja hivi karibuni kuelekea uchaguzi mkuu 2015
hili andiko limenipa nguvu sana ! kwaheri kichocho na kipindupindu kyela .Ahsante Erythrocyte, wafia chama na wapenda mabadiliko tutaelekeza nguvu zaidi vijijini na maeneo kama hayo kwa kutumia Operesheni Tokomeza CCM ambayo inakuja hivi karibuni kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Hakuna kulala hadi kieleweke
Mkuu! Kama sijakupata hivi.
Niko Tukuyu hapa, Tunamsubiri Dj Mbowe kwa hamu aje kumwaga porojo zake