mkalimani4
Member
- Nov 30, 2016
- 26
- 29
alitumwa acheze makidamakida class....Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje. Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na kutumia lugha ya matusi ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha nje. Vivyo hivyo nakushauri ukafungue kesi dhidi ya Gwajima ili iwe fundisho kwa watu wengine wanaotoa taarifa za uongo kwa jamii kwa lengo la kukushushia hadhi yako. Kuendelea kukaa kimya kutamaanisha kuwa yalioongelewa ni ya kweli.

Toka lini failure akafungua jalada mahakamani
Matokeo yake yapo ewe mfuasi wa kibwetele usiishi kwa kubrashi viatu vya mtu mchafu ili aonekane msafiMuuza madawa ya kulevya utamjuwa tu jinsi anavyotokwa na povu. Failure, una data zake au unafuata upepo tu?
Hahahahaakaifungulie kesi serikali kwa zoezi la uhakiki vyeti !
Akienda mahakamani anatakiwa kwanza apeleke vielelezo vya kwamba Gwajima ni muongo, pili ndo amshitaki kwa kumchafuaNi kweli tena kwa kumkomoa tu, inabidi uchukue hatua ya yeye (Tapeli Gwajima) kukamatwe na kutiwa ndani mpaka kesi yake itakaposikilizwa hapo mwakani.
Matokeo yake yapo ewe mfuasi wa kibwetele usiishi kwa kubrashi viatu vya mtu mchafu ili aonekane msafi
Akienda mahakamani anatakiwa kwanza apeleke vielelezo vya kwamba Gwajima ni muongo, pili ndo amshitaki kwa kumchafua