MHE:majaliwa njoo uivamie TANESCO SONGEA

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
955
Kumekuwepo na ukatwaji umeme hovyo usio na muda wala taarifa kadili TANESCO wajisikiavyo.hii inaonekana huenda watumishi wamekaa miaka mingi sehemu moja hali ambayo imewafanya kuizoea kazi.umeme ni sehemuyetu ya maisha.sisi ni masikini wenye saluni za mia mbili mia mbili.hali ni mbaya na kwa sasa ni katakata hovyo.Kwa kutumia ukurasa huu tumeandika mara kadhaa lakini no action taken.muheshimiwa waziri mkuu na muheshimiwa muhongo umeme,umeme×99999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999
 
Back
Top Bottom