Mhe. Lissu, 2015 imefika


Kazi kubwa ya wabunge wa CDM ni kupiga ganzi mnyororo wa maendeleo!
 
Shida yako unatukana sana hauna HOJA nami Sipendi kujibizana na mtu asiyeelewa nisije nikapoteza swaumu Yangu bure! Tushindane Kwa hoja na siyo matusi
swaumu yako ya kijinga kuliko zote,umefunga na unaleta "njemu" kwamba sisi na wanyaturu tuna uhasama kama wa Israel na Palestina?
 
Wewe ndio huelewi Kabisa unachokisema Lissu Ni mbunge wa Ikungi na ni wilaya inayojitegemea na Iramba Ni Wilaya inayojitegemea inaongozwa na Mwigulu
emeshindwa kuwasemea hao wa kwenu Kinambeu unajifanya msemaji wa wanaIkungi
 
Punguza kelele OKW
inashangaza sana mkoa wangu ulivyo maskini,ndugu zangu walivyo maskini,halafu anatokea mjinga mmoja anasema wana vita kali.miaka 28 toka nizaliwe unyirambani na kusomea unyaturuni sijawahi hata kusikia ndugu "watani" hawa wakichukiana zaidi ya kuugulia kwa pamoja umasikini wao chini ya CCM.Wamepauka na hawana furaha,wakiwa wamejipanga mabarabarani kuuza mafuta ya alizeti elf kwa 10(ambayo Dar ni elf50) huku serikali yao ikiwa haina taimu.wakichangia maji na mifugo huko mitoni,wakinywa maji machafu na yasiyo na dawa na kuishia kuwa na meno ya dhahabu.Huko Kinambeu kwa Mwigulu ni Dubai?
 

Huyu jamaa ni mshabiki wa ukabila sijui maana nyie msifanye kazi pambaneni na mbunge.
 
Lisu Mungu azidi kukubariki natamani ungekuwa mbunge wa jimbo letu. Tunakutaka wengine wanaleta mzaha
 
Wewe ni mnafiki. CCM ilikuwa imefanya nini miaka 46
kabra ya Lissu?
 
Siyo huko tu hata sisi tuko chini ya maccm miaka yote ila maji ni shida naongelea bk vijijin Izimbya na Kyamulaile.
 


Nashukuru sana kwa busara hii!!! yeye anawaza njaa tu inayomuuma yeye peke yake huku akisahau kuwa Lissu anasukuma zigo la nchi nzima including kwake huko anakodai kumesahaulika. Tanzania inamhitaji "mwanaharakati" huyu NDANI YA BUNGE!!!! please tafadhali tuko chini ya miguu yenu mwacheni mheshimiwa aendelee na "siasa kinzani" ili kuhakikisha serikali tukufujo inakuwa answerable.

Nawasilisha
 
Mkuu pole sana kuelewa mdogo. kikatiba na kisheria mbunge ni mwakilishi wa wapiga kura wake bungeni. na katika wabunge waliotekeleza majukumu yao vizuri Lissu niwa kupigiwa mfano. Majimbo mengine tunawaonea wivu kwa kuwa na mbunge makini kama Lissu. najua lissu hatoi rushwa za fulana, kanga, kofia,wali nk.ndio maana unaanza kuona shida. vumilia ni mwaka wa uchaguzi watakuja hao ambao ubunge wao ni kuwapumbaza na kofia, wali na elfu moja ya vocha.


 
Kazi kubwa ya wabunge wa CDM ni kupiga ganzi mnyororo wa maendeleo!

tumefika hapa kwa sababu ya ulaf....ubinafsi....uroho na wizi wa majizi ya Ccm.....kamwambie alokutuma mm ndo nmesema
 
swaumu yako ya kijinga kuliko zote,umefunga na unaleta "njemu" kwamba sisi na wanyaturu tuna uhasama kama wa Israel na Palestina?

nna miaka zaid ya 30 ndo nasikia leo kua wanyaturu na wanyiramba wana uhasama
 
punguani huyo,nimeshampa za uso namsubiri arudi,naona kapotea

Hakuna uliyempa za USO hapa Kwani kuna usemi usemao ukibishana na mtu kama wewe basi nawe utakuwa kama wewe nikaamua kufanya kazi zangu za kutafuta ridhki
 
tumefika hapa kwa sababu ya ulaf....ubinafsi....uroho na wizi wa majizi ya Ccm.....kamwambie alokutuma mm ndo nmesema

Hakuna majizi kama manafiki ya UKAWA yanayopiga mil 230 huku bungeni hawakukaa vikao vyote baada ya kususia vikao vingi.
 
Hakuna majizi kama manafiki ya UKAWA yanayopiga mil 230 huku bungeni hawakukaa vikao vyote baada ya kususia vikao vingi.

wewe unaumia nn icho n kiinua mgongo ambacho kipo kwa mujibu wa sheria....kanuni na taratibu za nchi....
wewe ni nan mpaka uwazuie wasipewe???
kwani juz mswada ulivopitishwa na wabunge 30 tu....kati ya 390 una maana hao 330 waliotoroka n wa ukawa????
siwez nikajibishana na ww ila najua utaumia sana utakapoona lissu anarud bungen 2016...
kamwambie huyo alikulipa uje ulete porojo zake....arudi tena kwa mganga wake maana kamlia pesa yake
 
Hakuna uliyempa za USO hapa Kwani kuna usemi usemao ukibishana na mtu kama wewe basi nawe utakuwa kama wewe nikaamua kufanya kazi zangu za kutafuta ridhki

toa unafiki wako hapa , nimekusoma kitambo sana na nikashangaa kama bado kuna kijana mwenye ubongo mweusi hivi sasa hii BRN WAMELETA YA NINI ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…