Mhe. Lissu, 2015 imefika

Na sisi wanyiramba tunafurahi sana kwa mambo anayoyafanya Lissu kwa kutohamasisha maendeleo. Lissu uongoze miaka 100 ili tuwapige gape Wanyampaa

mkuu unafahamu kazi za mbunge? je kazi za serikali unazitambua? kama hakuna maendeleo huko ikungi wa kulaumiwa ni serikali inayokusanya kodi hapo singida. tatizo hilo la kutojitambua limepelekea hela yetu ya miradi ya maendeleo iliwe na wajanja wachache serikalini kama kina shabani gurumo na wenzao...
 
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.

hamna mtu anaeweza kumtoa lissu jimbon hata aende membe...makongoro nasema noooooo
kwan misanga na wengine walifanya maendeleo gan kabla ya kuondoka???
hamna ukomboz mzur kama ukomboz wa kifikra........ukiondoa ujinga kichwan mbona mengine yataenda sawa!!!?
 

haahaa kwani wanyiramba sio watanzania? mbona jimboni kwani majimbo ya ccm wafanyakazi wa maeneo hayo wote ni wa hapo? nimeamini ccm bila kupalilia ubaguzi haiendi...
 

huu ukosefu wa maji wa kulaumiwa ni ccm na sio mwingine. kodi inazokusanya zina fanya nini?
 

mkuu hilo ni tatizo la ukosefu wa elimu ya uraia. lissu hakusanyi kodi. anayekusanya kodi ni serikali ya ccm. na tumeshuhudia pale bungeni serikali imepeleka pesa za maendeleo mikoani kwa 28% tu. je hapo wa kulaumiwa ni tundu lissu? je 72% ya hela za maendeleo zimekwenda wapi? ni ufisadi na kulindana. tukiendelea na serikali hii dhaifu ya ccm nchi yetu itazidi kurudi nyuma kwa umasikini. ...tunahitaji kina lissu wengi zaidi bungeni. hongereni singida mashariki.
 

mkuu huo ndo ukweli. naomba angalau mwaka huu tungepata kina lissu wengine kama 100 hivi angalau wananchi tujitambue...
 

Mkuu umenena vema sana. Sema watakomaa nae ili asiwe kikwazo ktk mambo yao.
 
Na sisi wanyiramba tunafurahi sana kwa mambo anayoyafanya Lissu kwa kutohamasisha maendeleo. Lissu uongoze miaka 100 ili tuwapige gape Wanyampaa
sisi...sisi wanyiramba,pumbavu mkubwa wewe,nakufuatilia sana koment zako humu,ni lini wanyiramba tumekutuma utusemee.jisemee wewe na upunguani wako,usitusemee wengine
 
Acha apiganie haki za wengi,

Kwanza jiulize, hao wabunge wengine wameleta mabadiliko gani sehemu wanazotoka kabla ya kumshambulia Lisu. Shida zote mnazopata ni kwa sababu ya serikali yenu dhaifu ya intarahamwe,

kweli maajabu hayatakwisha we mtu analalamika matatizo jimboni kwake ww unatetea acha izo ata kama mapenzi yamezidi kwa lisu basi kuwa mkweli
 
Kati ya Wanyaturu na Wanyiramba kuna vita Kali iliyojificha ni kama Wapalestine na Waisrael.......
wapuuzi kama wewe hujificha kwenye ukabila,umeshindwa kusimamia hoja zako unajifanya kutusemea wanyiramba.ni vita ipi hiyo na upumbavu unaousema humu kiasi cha kufananisha na palestina na israel.kama wewe unawachukia wanyaturu ni nini wewe na wehu wako.nimezawaliwa na kukulia hapa sijawahi kuona hata dalili za vita hiyo,
 
Mkuu TzPride Umemaliza kila kitu!

Nawakilisha kutoka Mang'onyi hapa Lissu hana mpinzani 2015 period!

Nimekipenda hicho kibwagizo "Njaghamba iuhoma ilolo" wajifya sana wo khaya!

Na sisi huku ikungi tunajuta kumchagua Lisu
 
mkuu huo ndo ukweli. naomba angalau mwaka huu tungepata kina lissu wengine kama 100 hivi angalau wananchi tujitambue...

ifike hatua tujitambue na kujua kuwa mbunge kaz yake n kuisimamia serikal ifanye maendeleo....na si kutoa hela yake mfukon ifanye maendeleo....
na kazi hio lissu kaifanya kikamilifu......sasa kama serikal haifanyi kaz yake ilo n tatizo la lissu au serikal??????
 
Tundu lissu ataongoza chadema iramba kusimamia halmashauri. Kila kitu tayari
 
Unataka kuniambia jimboni kwake hajafanya lolote la maana??
 
Unataka kuniambia jimboni kwake hajafanya lolote la maana??

Kahamasisha wananchi wafukie visima vya maji Na kuwaacha na Kiu Kali Sana lakini yeye mwenyewe huwa anakunywa maji ya Kilimanjaro
 
Tundu lissu ataongoza chadema iramba kusimamia halmashauri. Kila kitu tayari

Wewe ndio huelewi Kabisa unachokisema Lissu Ni mbunge wa Ikungi na ni wilaya inayojitegemea na Iramba Ni Wilaya inayojitegemea inaongozwa na Mwigulu
 
Shida yako unatukana sana hauna HOJA nami Sipendi kujibizana na mtu asiyeelewa nisije nikapoteza swaumu Yangu bure! Tushindane Kwa hoja na siyo matusi
 
sisi...sisi wanyiramba,pumbavu mkubwa wewe,nakufuatilia sana koment zako humu,ni lini wanyiramba tumekutuma utusemee.jisemee wewe na upunguani wako,usitusemee wengine
Mods mmelala? Mnamuacha mtu anatukana nasi tutukane?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…