Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mkuu TzPride Umemaliza kila kitu!

Nawakilisha kutoka Mang'onyi hapa Lissu hana mpinzani 2015 period!

Nimekipenda hicho kibwagizo "Njaghamba iuhoma ilolo" wajifya sana wo khaya!
 
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.
Mjinga no. 1 wa karne..idiot
 
Matrumbu akho....Lissu tumempa Uchifu hapa Ikungi, tafuta gazeti la Tanzania Daima la tarehe 11 May 2014.

Ktk magazeti ambayo siyapendi na sijawahi kununua wala kusoma ni hili, ni zaidi ya udaku.
 
We kweli unamatatizo ya ubongo, tuoneshe majimbo yenye maendeleo katika nchi hii! kwani maendeleo huletwa na mbunge? kwani kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo? Wacha kutumiwa kama "condom" wewe!

Unaweza kuniambia wajibu wa mbunge ktk jimbo lake ni nini?
Kama anakwepa majukumu kuna haja Jana ya Kuwa na mbunge wa jimbo?
Na wanaoendeleza majimbo yao wanafanyaje?
Usitetee upuuzi, akwepe majukumu yake wakati anaomba kura alitoa ahadi za nini Sasa kama hana uwezo wa kutatua,
Msijitoe ufahamu kwa kutetea ujinga, mnamtetea mtu hata kama anafanya ujinga.
 
Yasome majibu ya wasinida wenzako;
Mkuu TzPride Umemaliza kila kitu!

Nawakilisha kutoka Mang'onyi hapa Lissu hana mpinzani 2015 period!

Nimekipenda hicho kibwagizo "Njaghamba iuhoma ilolo" wajifya sana wo khaya!
 

mkuu haya maneno ya chini daaah
 
Lisu anaweza kugombea hata jijini dsm akawa mbunge,mbona mnyika na Halima mdee ni wachaga lakini ni wabunge wa jiji la pwani al maarufu kama Dsm.
 

Lissu ndio rais mpya wa Tanzania 2015..
 
Lisu anaweza kugombea hata jijini dsm akawa mbunge,mbona mnyika na Halima mdee ni wachaga lakini ni wabunge wa jiji la pwani al maarufu kama Dsm.

Mnyika sio mchaga..ni Msukuma.
 
Mwache tu aendelee kupiga makelele huko Zanzibar,hapa jimboni hana chake 2015
 
Wadau kama kuna mtu anafuatilia utendaji wake na anataka kupambana na Huyu Nguli atakua mbumbuu na asieitakia mema nchi yetu. Lissu anatimiza wajibu wake kwa hali ya juu sana. Kwa mtazamo wangu CCM au chama chochote kama kitathubutu kupeleka mgombea jimbo kwake Lissu basi atapimwa kili kama ziko sawa au lah....mana siasa ni kwa ajili ya watu na maendeleo yao na lissu ameweza.

Kwa mtazamo wangu hana mpinzani.jembe Lissu.
 
Huyo jamaa anapo ongea nafarijika zaidi ya kufurah sasa waliomchagua wanajidikiaje lazima waone fahari kuwa na mbunge kama huyu
 

Umeongea vema na tena ubarikiwe. Lakini mitanzania hasa miCCM ilivyo, utaona ! Mtu mwenye mapenzi mema na nchi hii atamwacha Lisu aendelee
 
naunga mkono hoja. nauheshimu sana mkoa wa singida kwa sababu ya mtu huyu aitwaye tundu lissu. hongereni wana singida. hongereni singida mashariki kwa kulitendea haki taifa letu.
 
Kama sehemu zilizo athiriwaa na op tokomeza ccm wameshinda s/m 2014!Kuwa tayari kwa lolote,mi Tz tumerogwa na mlozi gani
 
Amefanya kitu gani extraordinary jimboni kwake?
 
sisi wanaSingida mashariki tunawasubiri ccm watuletee hela na tutazila kweli kweli ila kura tunajua tutazipeleka wapi!

2010 Njau wa ccm alifilisika rasmi sasa amebaki anafuga mizinga ya nyuki kwao Mahambe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…