RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,761
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.
Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.

Umetumwa wewe
So Zito akitembea uchi mtaiga? km ye amebug asiwe lisu ila afanye kibunge si kama mwanaharakati.watu wa magamba bwana wa.j.i.nga kweli kweli vip kuhusu zitto kabwe na mambo ya kitaifa. au kwasababu zzk yupo upande wenu ?
Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.
Matrumbu akho....Lissu tumempa Uchifu hapa Ikungi, tafuta gazeti la Tanzania Daima la tarehe 11 May 2014.
Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.
Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
Nafikiri hakuna haja ya kupoteza muda tukilumbana na hawa jamaa wa CCM, kinachowauma ni kuona Lissu anavyochanja Mbuga kisiasa. Hayo maendeleo wanayotaka kwanza sijui kama majimbo mengine yasiyokuwa na mbunge wa upinzani kama yapo. Nijuavyo mimi tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze mkoani Singida hakuna jimbo hata moja lililowahi kuwa na mbunge wa upinzani tofauti na hilo la Lissu. Kama ni kukosa maendeleo bado wa kulaumiwa ni CCM huyo huyo aliyekuwepo na ndiye anayekwamisha huduma zisiletwe jimboni kwa Lissu. Swali ni je hayo majimbo mengine yana maendeleo makubwa kuliko jimbo la Lissu? Acha propaganda za kitoto, kwa wapiga kura walio makini hawawezi kuacha kumpa kura Lissu lakini kama ni wapiga kura wasiojua wafanyalo basi watamuona jabali la kisiasa Lissu hafai. Lissu ana uwezo wa kugombea hata jimbo lingine akapata ubunge tu kama jimbo limejaa wafitini mkataeni Lissu majimbo mengine yatampokea na kumuomba agombee ubunge kwao. Binafsi namuona Lissu kama ni mtu zaidi ya mbunge na hivyo aangalie uwezekano wa kugombea urais akasafishe uchafu uliojaa katika uongozi wa nchi yetu
Wewe na ye nani mnafiki??Je wewe unaye jifanya mpenda lissu kumbe mnafiki au yeye anaye kwambia ukweli.?? Mnafiki anajulikana hawezi kujificha.