Mhe. Lissu, 2015 imefika

Mhe. Lissu, 2015 imefika

msambaru

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
245
Reaction score
109
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
 
si kwamba namchukia Lissu, Nachukia mtindo wa siasa zake na nawachukia nyie mnaompambisha kinafiki wakati hamjui amepgiwa kura na watu wa jimbon kwake tu, we na kiherehere chako huna uwezo wa kuja kumchagua labda umwambie aje huko kwenu, unless 2015 atakiona.

Acha apiganie haki za wengi,

Kwanza jiulize, hao wabunge wengine wameleta mabadiliko gani sehemu wanazotoka kabla ya kumshambulia Lisu. Shida zote mnazopata ni kwa sababu ya serikali yenu dhaifu ya intarahamwe,
 
si kwamba namchukia Lissu, Nachukia mtindo wa siasa zake na nawachukia nyie mnaompambisha kinafiki wakati hamjui amepgiwa kura na watu wa jimbon kwake tu, we na kiherehere chako huna uwezo wa kuja kumchagua labda umwambie aje huko kwenu, unless 2015 atakiona.

Wewe na ye nani mnafiki??Je wewe unaye jifanya mpenda lissu kumbe mnafiki au yeye anaye kwambia ukweli.?? Mnafiki anajulikana hawezi kujificha.
 
Bravo lisu,liberation is not a short time process,acha akomboe taifa even if itahitajika kujitoa sadaka na kuteseka sana
Lisu next uchaguzi hataweza kushinda,tupo na tutaona
 
Lisu ni level ya taifa hayo ya vijiji fanyeni na nyie kuweni na uchungu na kata zenu pia
 
Lisu ni level ya taifa hayo ya vijiji fanyeni na nyie kuweni na uchungu na kata zenu pia

Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.
 
We need Lissu more on National level,You can have another CCM lunatic to screw you for another fiver years if you want we don't care!!!!

Sawa kabisa, ila kuwakilisha na kuongoza jimbo ameshndwa, hata huko kitaifa hataweza zaid ya kujichanganya tu, utawezaje kuongoza taifa ktk mambo makubwa na magumu kama umeshndwa ya jimbo?
 
Sawa kabisa, ila kuwakilisha na kuongoza jimbo ameshndwa, hata huko kitaifa hataweza zaid ya kujichanganya tu, utawezaje kuongoza taifa ktk mambo makubwa na magumu kama umeshndwa ya jimbo?
Inaonekana kwasasa hamna uwezo tena wa kujibu hoja bali ni kumtishia kuhusu jimboni kwake. Kwa taarifa yako maendeleo yanaletwa na serekali kupitia kodi za wananchi na mbunge kazi yake ni kuwawakilisha na kuwasemea wananchi wake bungeni. Hebu tupe tofauti ya kimaisha ya jimboni kwa mbunge yoyote wa ccm ukilinganisha na kwa Lissu hapo tutajua unaongea nini. Maana nijuavyo shida ya maji iko sehemu kubwa ya mkoa wa Singida regadless Ni kwa Lissu au kwa Mwigulu, shida ya pembejeo ni kwa wote sio kwa Lissu au Kwa Dewji, shida ya madawati, zahanati kukosa dawa kunafanana sasa wewe unayejifanya mpiga kura wake una lipi la kumtishia?
Wewe ni waziri fanya kazi yako acha siasa za vitisho wakati huna uwezo wa kujenga hoja, matokeo yake unajifanya unakubalika wakati unaishia kutumia polisi kudhibiti wapinzani na kushindwa kupeleka hela mahali husika kwa sababu za kiitikadi wakati mnapokusanya kodi hamkushanyi kwa wanachama wenu tu. Acha ujinga ndugu.
 
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.

Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.

ukishaona hivyo,ujue kuna watu wameshikwa pabaya,sidhani kama lissu ni mtu wa kumsema kwa kejeli nyepesi kama hizi,kwa mtanzania mwenye akili timamu(narudia MWENYE AKILI TIMAMU) hawezi andika upuuzi kama huu kwa mtu kwa calibre ya LISSU,jaribu number zingine zinazisinzia BUNGENI kama ,LEKULE LAIZER,CAPT KOMBA,na wabunge wengine wengi wanaotoka upande wa walio wengi,
 
Sawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.

huna jipya wewe gamba,kajipange upya! Unataswa na buk 7 hadi kufikia hatua ya kujitoa ufahamu!
 
Sawa kabisa, ila kuwakilisha na kuongoza jimbo ameshndwa, hata huko kitaifa hataweza zaid ya kujichanganya tu, utawezaje kuongoza taifa ktk mambo makubwa na magumu kama umeshndwa ya jimbo?

Watanzania tunapaswa kuupitia mfumo wa elimu yetu upya,Seriously!Kuona watu wanashindwa kujua kazi halisi za Mbunge ni zipi ni jambo linalosikitisha sana.Jamani Mbunge wajibu wake ni kuwakilisha Wananchi Bungeni na siyo kuongoza,Wanaopaswa kulaumiwa kwa kudumaa kwa maendeleo ya Watanzania ni serikali inayosimamia rasilimali za nchi pamoja na kukusanya kodi,Serikali ndiyo inayogawanya mafungu ya fedha kufadhili miradi mbalimbali ya maendeleo sehemu mbalimbali nchini,Hao ndiyo wa kulaumiwa na siyo Mbunge.Ndiyo maana sisi wengine tunapigania mfumo wa serikali za majimbo ili kuhakikisha rasilimali zilizopo kwenye mikoa hiyo zinatumika huko huko bila kusubiri kwanza maamuzi kutoka serikali kuu ya Dar es salaam chini ya mfumo huu mbovu wa sasa (bureaucratic system).Wazo pia la kuhakikisha Wakuu wa Mikoa wanapatikana kwa njia ya kura itasaidia kuwatambua Wakuu hawa kama viongozi halisi watakaowajibika katika shughuli zote za kiutawala na maendeleo za Mikoa yao.Hivyo usimlaumu Lissu na Wabunge wengine kwa matatizo yanayowakabili,Laumu mfumo mbovu wa serikali (bureaucratic system) ambao kwa umbumbu wenu na uduni wenu wa kuchambua vyanzo vya matatizo yenu mnaendelea kuutetea chini ya mwamvuli wa 'zidumu fikra za mwenyekiti'.
 
Nafikiri hakuna haja ya kupoteza muda tukilumbana na hawa jamaa wa CCM, kinachowauma ni kuona Lissu anavyochanja Mbuga kisiasa. Hayo maendeleo wanayotaka kwanza sijui kama majimbo mengine yasiyokuwa na mbunge wa upinzani kama yapo. Nijuavyo mimi tangu uchaguzi wa vyama vingi uanze mkoani Singida hakuna jimbo hata moja lililowahi kuwa na mbunge wa upinzani tofauti na hilo la Lissu. Kama ni kukosa maendeleo bado wa kulaumiwa ni CCM huyo huyo aliyekuwepo na ndiye anayekwamisha huduma zisiletwe jimboni kwa Lissu. Swali ni je hayo majimbo mengine yana maendeleo makubwa kuliko jimbo la Lissu? Acha propaganda za kitoto, kwa wapiga kura walio makini hawawezi kuacha kumpa kura Lissu lakini kama ni wapiga kura wasiojua wafanyalo basi watamuona jabali la kisiasa Lissu hafai. Lissu ana uwezo wa kugombea hata jimbo lingine akapata ubunge tu kama jimbo limejaa wafitini mkataeni Lissu majimbo mengine yatampokea na kumuomba agombee ubunge kwao. Binafsi namuona Lissu kama ni mtu zaidi ya mbunge na hivyo aangalie uwezekano wa kugombea urais akasafishe uchafu uliojaa katika uongozi wa nchi yetu
 
Hoja yangu si kumtaka mbunge Lissu atoe pesa mfukon, nachomaanisha hayupo tayari kuhamasisha wapga kura wake hata kushirikiana na wadau mbalimbali ktk kuleta maendeleo, kwa mfano ktk kijij cha mang'onyi amekua tatizo ktk kufikia muafaka na kampun ya shanta gold mine ambayo imeanzisha mradi wa visima virefu na tayari vmechimbwa, ktk kuleta dhana ya umiliki wa mradi wananchi walitakiwa wachimbe mitaro kwenda kwenye maeneo yao jambo ambalo halitak pia, je hapo serikal wanahusikaje?
 
Matrumbu akho....Lissu tumempa Uchifu hapa Ikungi, tafuta gazeti la Tanzania Daima la tarehe 11 May 2014.

Akakona Mwinowere, Basi awe chifu wa ikungi si mezoea akija anawapa nyama choma na pombe hasa ile ya K Vant nadhani unaijua vizuri na nyie ndo mnamuaminisha kua hali ya siasa jimbon iko shwari, mmebugi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom