Mhe. John Mnyika Amjulia Hali Mhe. Tundu Lissu Jijini Nairobi leo

Kwa hali hii ninayoiona adabu itakuwepo kwa mamlaka, tofauti na mwanzo, mungu amfanyie wepesi apone haraka aje tujenge taifa
Ni lini Lisu ameanza kuogopa kupambana na udhalimu??? Yaani risasi ndio zimtishe lisu??? Unafkiri kila mtu mchumia tumbo kma kina january

Naona wewe hujui maana ya kuwa mpinzani afrika.... Jifunze kwa besigye na odinga ndio utaona anachopitia lisu kina maana gani
 
Huku jimboni tuna matatizo mengi na hajawahi kutujulia hali. 2020 sio mbali
 
Ukiwa ni usiku na ukaona giza nene ujue ndio kuna kucha na ukiwa vitani na ukaona adui amekuwa mkali sana ujue umekalibia na amezidiwa nguvu.
 
Kingunge kang'atwa na mbwa kalazwa,mmemtelekeza hakuna selfie kule
 
Nadhani hata ******** ataenda sasa baada ya kuthibitisha Mungu hadhihakiwi
sina uhakika kama hii ni sahihi sana tunawajenga vijana kudharau na kutukana viongozi tena binafsi na sio taasisi sasa sijui kama hii inapunguza hasira nafikiri tuwe makini mtaani kuzuri
 
Wasiwasi wangu ni kuwa kwa watu hawa wengi wanaoenda...Tundu Lissu is not safe
 
Duh the Man is a hero to resist the temptations calling for him to defect from the very top...For a fact he has passed through the toughest time in his life and to anyone living..to resist big money and big post in the government takes a lot from an individual
 
Hongera sana japo umezidiwa hata na kina Mzee Mwinyi kwenda Nairobi bado Mdee
Alikuwa wapi muda wote huo? Cdm wanajua walichomfanyia mwenzao, hivi mdee alishaenda? Naona zamu ya cdm masalia sasa, bado zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…