Mhe. Bashe tengua kauli...

Umelaaniwa wewe mtoto hayawani. SHETANI AKULINDE DAIMA
 
Sidhani kama unajua unachokiongea. Mimi nilipata dv 2 form iv na form vi lakini ni mwalimu. Isitoshe walimu wengi wa sekondari ni wale wenye div I-III.
unachosahau ni kwamba wengi wetu humu hizo shule tumepitia including Bashe mwenyewe! huwezi ukapata hivyo ukaishia huko au la ulioa wakati unasoma kuna cases kama hizo simply kukatizia denge maisha!
 
Billgate ni university drop out mkuu wangu...jamaa alikuwa kichwa balaa...tena alidrop Harvard kama sijakosea...kuhusu Einstein ebu fuatilia mambo ya kemia na fizikia utagundua mambo makubwa aliyoyafanya kamanda wangu...
Naona jamaa kuchanganya drop out na failure, bill gate hakufail alidrop, havard haijawahi chagua failure.
 
Umelaaniwa wewe mtoto hayawani. SHETANI AKULINDE DAIMA
Suala siyo shetani, lazima tufike hatua tuache mambo ya lawama hapa.kwahuyo unaona nani mwenye makosa na kupanga utaratibu ya kuwapata walimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…