Mhe ADEN RAGE Mbunge wa Tabora mjini




Jambazi baada ya kumaliza kifungo ndio anakuja kuwa kiongozi .. ... .
what happened?
Thats CCM wanaowatakia Watanzania maisha bora .. ... Aibu!
 
Msamehe tu bure maana Rage hajui alisemalo. CCM kingekuwa chama dume asingeenda na bastola kwenye mikutano ya kampeni Igunga
 

Unaskia Dada , Wamarekani wangekua na akili kama wewe , basi OBAMA asingekua RAISI U S A.muendelee na UKANDA wenu , sisi MTWARA VITI MAALUMU vya Ubunge tumemchagua Mkuria MAMA WAMBURA ana sifa,na juzi juzi tumemchagua Mr. KWEKA (mchaga) NEC YA CCM ana uwezo,CDM endelezeni ukabila na udini.
 

Kuwa mzalendo acha malalamiko yasiyo ya msingi, hao wanyamwezi ndio wamemchagua....mbona unaleta tabia kama ya joka la mdimu!!! wewe sio mnyamwezi na sio mkazi wa TBR kinakuuma nini??? acha wivu fanya kazi yako.
Rage ni raia kama walivyowengine amezaliwa TBR kama wanyamwezi wengine na ana sifa ya kuwa muwakilishi, msomi ktk fani ya uhasibu zaidi ya hapo ana CPA frm America!!!
 
Rage naye ni joka la CCM na Simba. Amefanya Dr. Kamfumo anyang'anywe ubunge. Amefanya Twite aende Yanga. Amekula hela ya Mafisango kwa kisingizio alikuwa amechukua hela ya mkataba.

Kama kweli tunataka Simba na CCM viende mbali watoe kirusi hiki.
 
 

Mkuu mbona umepaniki sana labda alimaanisha DUME KONDOM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…