Mhasibu msaidizi anaitajika

Mhasibu msaidizi anaitajika

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
221
Reaction score
35
Tunaitaji muhasibu msaidizi awe na sifa zifuatazo.
Elimu kuanzia diploma.
Jinsia ya Kiume.
Ajuwe kutumia Tally itakuwa bora zaidi. Kama hajui atafundishwa.

Ajuwe Kiswahili na Kingereza ( kusoma, kuandika na kuongea )

Kutumia computer (microsoft office )
Kituo cha kazi kipo Msasani, Dar es Salaam.
Tuma maombi ambatanisha na CV tu.

wpeter07@yahoo.com

Mwisho wa kutuma maombi ni 17 March 2021.
 
Mbona hujakamilisha kila kitu mkuu kituo wapi sasa?
 
Tunaitaji mwasibu msaidizi awe na sifa zifuatazo.
Elimu kuanzia diploma.
Ajuwe kutumia Tally itakuwa bora zaidi. Kama hajui atafundishwa.
Ajuwe Kiswahili na Kingereza ( kusoma, kuandika na kuongea )
Kutumia computer ( microsoft office )
Kituo cha kazi kipo Msasani, Dar es Salaam.
Tuma maombi ambatanisha na CV tu. wpeter07@yahoo.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 18 March 2021.
Mkuu mtu hawezi leta ofisini kama yuko karibu?
 
Mnajishughulisha na nini kwanza? Nisije nokatoka hapa na kurudi hapahapa!
 
Mnajishughulisha na nini kwanza? Nisije nokatoka hapa na kwenda hapahapa!
 
Kuna kiharufu naskia cha kitapeli tapeli hivi.

Yani kampuni haina hata mail za kiofisi? Mnatumia yahoo? Mhh anyway mimi sio mhasibu.
 
Back
Top Bottom