mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Aliyekuwa Mhariri wa HabariLeo. Joseph Kulangwa amehamia gazeti la Chama Cha Mapinduzi, yaani Uhuru. Awali aliwahi kufanya kazi Majira wakati likiwa juu kwa umaarufu.
Kuchukuliwa kwa Kulangwa Uhuru pengine ni jitihada za CCM kujaribu kuliinua gazeti lake ambalo kwa sasa limedoda, kabla ya 2015.
Watafiti wa mambo wanadai kuwa kumbe kipindi chote ambacho HabariLeo limekuwa pro CCM ni jamaa alikuwa akipalilia mchicha wake na sasa anavuna