Mhandisi wa maji Shinyanga umesema uongo kuhusu bei ya maji

jijayetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
727
561
Wakati leo mh. Rais akihutubia umati wa wanashinyanga amemtaka Mhandisi wa maji na mbunge waeleze kwanini wananchi wanalipa kiasi kikubwa bili ya maji kuliko sehemu zingine.

Mbunge amesema hii ni kwasababu ya kuwezesha shirika la maji kufidia gharama zilizotumika kuwezesha mradi lakini imekuwa tofauti kabisa kwa Mhandisi wa maji. Yeye kasema bei inayotozwa ni 1000/unit.

Maana yake 1000lts zilitotwa 1000.Ndoo moja 20lt inauzwa 20sh. Kama kweli hizi bei zipo naomba wananchi waache kupotoshwa bei ni ndogo sana ukilinganisha na Dar.

Kama hii bei siyo kweli Mhandisi anawajibika kujiuzuru kwa kusema uongo mbele ya rais.

Nawasilisha.
 
Wakati leo mh. Rais akihutubia umati wanashinyanga amemtaka mhandisi wa maji na mbunge waeleze kwa nn wananchi wanalipa kias kikubwa bili ya maji kuliko sehm zingine.

Mbunge amesema hii ni kwa sababu ya kuwezesha shirika la maji kufidia gharama zilizotumika kuwezesha mladi.
Lakini imekuwa tofauti kabisa kwa mhandisi wa maji. Yy kasema bei inayotozwa ni 1000/unit.
Maana yake 1000lts zilitotwa 1000.
Ndoo moja 20lt inauzwa 20sh.
Kama kweli hizi bei zipo naomba wananchi waache kuposhwa bei ni ndogo sana ukilinganisha na dar.

Kama hii bei siyo kweli mhandisi anawajibika kujiuzuru kwa kusema uongo mbele ya rais.
Nawakilisha.
Unabisha kitu usichokijua
 
Back
Top Bottom