tuacheni izo publications alizo fanya nizakihandisi kwli? mbona tunachekeshana wakati watu tunataka tuwe siriasi ili tukomboe nchi. anaujuzi gani wa ujasiriamali hadi kupublish paper ya ujasiriamali? au ametuandikia aliyokuwa akiandika kwenye magazeti sehemu ya barua za wasomaji? kama ni hivyo wakina kubenea na MMK wanaweza jaza server nzima ya jf kwa kulist mambo waliyoandika. sometimes jf inanifanya niwe na hasira!! ngoja niende kwenye jokes na MMU
Ni vema kujadili jambo kwa mtazamo uliodhahiri na sio kutumia hisia na jazba za ushabiki.
Manyanya ameikosea jamii kwa kutoa kauli za hovyo ndani ya Bunge na mbele ya wananchi wa Tanzania kwa kumuhukumu Dr. Ulimboka kuwa ni Hitler wakati hakuliangalia hilo jambo kwa urefu na mapana yake. Kwa tukio hilo Manyanya amefanya kosa la kuhukumu wenzie kwa masilahi yake binafsi na chama chake cha Nyinyiem!
Tukija kwenye suala la CV yake, hilo nitalieleza ifuatavyo:
Katika mfumo wetu wa elimu tunaweza kupata wahandisi kwa njia mbili, moja ni kupitia Form4, Form6, BSc. Engg. Na njia ya pili ni Form4, FTC, Adv.Diploma.
Wote waliomaliza kozi zao ktk mfumo huo wanaitwa wahandisi kwa mujibu wa sheria ya ERB ya 1997 na mabadiliko madogo yaliyofanyika mwaka 2007. Ndani ya hiyo kuna madaraja ya wahandisi ikianza na wahandisi wahitimu mpaka wahandisi washauri. Kwa ujumla wake wote ni wahandisi.
Du I now know why she had to speak what she spoke about Dr Ulimboka. She has adopted a title she didn't earn in school. Advance diploma taken foe five years is quite astonishing...any way She will remain Findi mchundo with advance diploma to meengineer lazima uwe registered na ERB vp,Manyanya kasajiliwa mpaka anajiita Engineer?
Mimi nadhani Fundi mchundo ni yule mwenye Full Technician Certificate peke yake, huyu naona ana Advanced Diploma In Electrical Engineering kwa maana hiyo ni Engineer huyu!.
Maji Marefu mbona hatumii title yake ya uganga wa kichawi?
Mimi nadhani Fundi mchundo ni yule mwenye Full Technician Certificate peke yake, huyu naona ana Advanced Diploma In Electrical Engineering kwa maana hiyo ni Engineer huyu!.