Mhadhiri wa chuo kikuu cha makelele stella Nyanzi alimfananisha Rais na Makalio yuko matatizoni tayari. mambo mengine sijui tuiteje? Hivi nasisi yule mama kwanini tusibadilishane na yule mlanguzi wa ngada? Uganda has thrown an academic in jail over a “buttocks” insult to president Museveni