Mh..!!!

224Nassah

Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Hivi matatizo ndo yanapunguza hela au hela ndo zinapunguza matatizo
 
......................nimesahau, nkikumbuka ntakwambia
 
Kwa sasa wewe una hela au matatizo?
 
...ni kama panga na tupa...ukinoa panga kwa tupa,tupa inalika na panga linalika mwisho wasiku panga linaisha na tupa inaisha...

very true, ila kuna watoto wa mjini humu hawajui tupa labda ungewaelewesha kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…