Mh. Zitto na Martin Luther King

Status
Not open for further replies.

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
ukisoma historia utaliona jina moja Martin luther king ALIAMINI katika yafuatayo katika muktadha wa TANZANIA

kuwa na haki sawa baina ya watanzania wote either uwe unatoka kaskazini mwa nchi au kusini au kule kigoma
mtu asipewe heshima au asivunjiwe heshima kutokana na kabila lake hata kama wewe mchaga au wewe ni muha mpewe haki sawa
mtu asibaguliwe kwa sababu ya dini yake au kwakuwa dini yake si sawa na yako hivyo unambagua
vilevile msimbague mtu kwakuwa anamawazo tofauti na wewe hiyo ni haki yake

KWANN MH ZITO

1.ANAFANANA na MARTIN LUTHER KING kwani anapigania maslahi ya watanzania wote bila kujali ukanda,udini,ukabila,na kila aina ya ubaguzi.
2. MARTIN LUTHER alikuwa na dream kuwa hata mmarekani mweusi aweza kuwa raisi au kuwa mwenyekiti wa republican au democrats kwan kinachoangaliwa ni uwezo na si mtu na ndoto zake zilifanikiwa kuwa kweli pale OBAMA ALIPOKUA RAIS MWEUSI AMERIKA
3. NAAMINI kuwa MH ZITO ANADREAM ZA MARTIN LUTHER KING INGAWA KAMA WAMAREKANI WEUPE KWAKUWA WALIKUA WABAGUZI HAWAKUAMINI ILA WAMAREKANI WEUSI WALIAMINI HIYO NI KWELI NA DREAM IKAWA KWELI
MY TAKE
KAMA WAMAREKANI WEUPE KWA SABABU YA UBAGUZI WAO WALIAMINI MTU MWEUSI HAWEZI KUWA KIONGOZI SAME APPLY KUWA MH ZITO KWA KUWA HATOKI UKANDA FULANI HAWEZI KUFIKIA HIS DREAM LAKINI SHIKA HILI MH ZITO NA MARTIN LUTHER IDEAS RESEMBLE MSICHANGAE JIWE MLILOLIKATA LIKAWA NDIO JIWE KUU LA PEMBENI
 
I have a dreams that oneday the segragation politics will no longer be a part of inhumanization in our coutry.
 
Zitto anafanana na Martini Luther kwa sifa chache sana, kwanza wote ni Wanadamu, pili Luther na Zitto ni Waafrika (Ingwa Luther wanasema mmarekani mwenye asili ya Afrika). Unaharibu dini ya Wakristo kwa kufananisha msemo wa Yesu wa jiwe walilolikataa waashi ndio limekuwa jiwe kuu la msingi kwa kufananisha na Zitto. Ukitoa sifa hizo hana sifa nyingine ya kumfananisha na Martine Luther King. Ndio maana watu wanaona kama umekula bangi mchana.
 
Uwezi kumlinganisha Martin Luther king na Zitto kabwe; Msimamo wa Luther ulikuwa dhahili na hakupata kuyumbiswa; Hakuna aliyepata hata kuhisi tu kwamba Luther King alitaka kuwasaliti watu weusi. Luter hakuna na elements za ukinyonga, Luther aliongoza kupanga mikakati ya ukombozi wa mtu mweusi na kusimama kwa miguu yake hadi anauawa . Leo hii tunaambiwa mtu alinyamaziswa na Scandal za mikataba ya uchimabji madini yaneye utata, ohoo mara CCM wanampendekeza na wangefurahi yeye awe Mgombea wa uenyekiti wa CHADEMA taifa.Hakuna mtu mweupe alipata udhubutu wa kumrubuni Luther ili awasaliti watu weusi. Hapana ndg yangu haujamtendea haki ya Martin Luthe King kwa kumlinganisha na Zitto. Luther alikuwa na dream...ambayo imekuja kutimizwa na Obama.Labda tukuulize dream ya kusambaratisha upinzani ndio ya rafiki yako Zitto????au anaye ndoto ya kuakikisha CCM inatawala milele na watanzania waendele kuwa masikini milele.
 
soma hii kitu kwanza halafu uone ni jinsi gani zitto hawezi kujiringanisha na martin luther.


i am happy to join with you today in what will go down in history as the greatest demonstration for freedom in the history of our nation.
Five score years ago,
 
haya ni matusi kwa wa lutheran aisee...ningekuwa mlutheri ungenisababishia ban aisee
anazungumziwa martin luther wa amerika si wa germani akili ndogo vs akili kubwa
 
Leo nimemsikia DW mchana anajikanyanga na FEDHA za uswis. huyu jamaa ni mnafiki kupindukia. Kipindi kile walipomuingiza kwenye kamati ya madi alitaka hata kuwasaliti watu wa kigoma na kwenda kugombea ubunge jimbo la Geita ili aendelee kuwalinda mafisadi wa madini vizuri ndo huyo unamfananisha martin kichekeso.

Martin hakuwahi kujilimbikizia mali kisa anafanya kazi za jamii haka kajamaa nasikia kanamiliki gali la mamilioni ya shillingi kantumia hilo kwenda kuwatetea watanzania ambao hata baiskeli ya miti kwao ni tatizo. Upuuzi.

Ukwli ni kwamba Tanzania hatuna mwanasiasa hata mmoja ambaye ni Mzalendo wote wachumia tumbo. Tokea huyo jamaa alipokuja na ngonjera zake hizo za uswis siku hizi naye kawa John Mtembezi. Kodi yetu hiyo

Kuweni makini na haya mambo
 
anazungumziwa martin luther wa amerika si wa germani akili ndogo vs akili kubwa
What ever, Mtu mwenye Taahira ya akili anaweza kufanya such a Comparison.
BTW, wewe ni Mke wa Zitto, Maana huachi kumsifia na kumtaja kila siku kila wakati
 
acha wivu kijana tafuta
 
akili ndogo hutumia matusi kama njia ya kujibu hoja nenda pale kariakoo wauza matikiti wasikilize utajua akili ndogo nazungumzia zipi
 
Kwani yeye anabihashara ipi inamuingizia hela mpaka utajiri kama si wizi wa mali za umma yaani mali yangu na wewe. Ila watanzania huwa hamjambo kwa kuwatetea wezi kisa kwenye kampeni ulipewa wali au kangha. Bado tuna njia ndefu kuelekea kwenye kutoka kama tunaona tuna wivu kwa kuwaweka wazi wahujumu uchumi wetu.
acha wivu kijana tafuta
 
Acha kumdhalilisha Martin luther king... Nenda katafakari kwanza ndiyo uje hapa jf
. MARTIN LUTHER KING UNAMJUA AMA UMEHADITHIWA? Kajipange...
 
huo ubaguzi anauona zitto tu ama ndo unamhusu zaidi yeye?
Mbona wengine hawalalamiki na wala hawajafikia nafasi hata ya naibu wa katibu mkuu kama alivyo yeye?
Hapa ndo hata watu wengine tunapata hofu kweli kuwa yawezana kukawa kweli na nguvu nyingine nyuma yake.
Binafsi namkubali huyu kijana ila kwa mambo kama haya, inatia wasiwasi kwani sasa mpaka Nape anamsaidia waziwazi.

Nachoamini kwa sasa ni kuwa uchaguzi unaweza ukawa na madhara makubwa ndani ya chama kwani viongozi wapya watatumia muda mwingi kujipambanua walivyo kitu ambacho uchaguzi mkuu upo jirani sana.
 

Sasa unataka kutuambia Tanzania haitawaliwi na watu weusi? sababu sioni coloration yoyote kati ya ZITTO na MARTIN LUTHER

Sidhani Zitto aliishi kwenye nchi ya kibaguzi: labda sasa utawala huu mpya ´´kwahiyo usijaribu kutuchanganya na kuleta bogus ideas… please….
 
yani inahitaji kwenda shule ili ujue mh zito anabaguliwA KASOME RIPOTI YA SIRI UTAONA DK SLAA KAGONGA LIKE ALAFU ANSEMA ZITO NI KIONGOZI WETU HY NI CONSPIRACY THEORY
 
soma thread uelewe martin luther king kwa muktadha wa tz ni fumbo wajinga hawawezi ng'amua
 
LEMA KASKAZINI
DK[
MBOWE
MNYIKA
MDEE
MTEIQ
NDESAMBURO
SELASINI
VS MUHA NYERERE ALISEMA RAIS ASIWE MCHAGA AU MHAYA know y? QUOTE=kipimo;7860723]huo ubaguzi anauona zitto tu ama ndo unamhusu zaidi yeye?
Mbona wengine hawalalamiki na wala hawajafikia nafasi hata ya naibu wa katibu mkuu kama alivyo yeye?
Hapa ndo hata watu wengine tunapata hofu kweli kuwa yawezana kukawa kweli na nguvu nyingine nyuma yake.
Binafsi namkubali huyu kijana ila kwa mambo kama haya, inatia wasiwasi kwani sasa mpaka Nape anamsaidia waziwazi.

Nachoamini kwa sasa ni kuwa uchaguzi unaweza ukawa na madhara makubwa ndani ya chama kwani viongozi wapya watatumia muda mwingi kujipambanua walivyo kitu ambacho uchaguzi mkuu upo jirani sana.[/QUOTE]
 
Acha kumdhalilisha Martin luther king... Nenda katafakari kwanza ndiyo uje hapa jf
. MARTIN LUTHER KING UNAMJUA AMA UMEHADITHIWA? Kajipange...

akili ndogo vs akili kubwa uleule ubaguzi uliopo kwny uzi umeudhihirisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…