Naogopa kusema ukweli atalia, unafiki sio mzuri unakataa shangingi eti ni matumizi mabaya yet unaruhusu mtendaji wako alitumie si unafiki huo??? Pinda alitakiwa atoe tamko wambie huu ni ubadhilifu rudisheni yalikotoka yote sio lake tu, 280million mara 50 ministers, bado makatibu wakuu, bado wakurugenzi, bado wakuu wa mikoa, hii kweli nchi tajiri