Mh. Waziri, kagua vyeti vyote vya wafanyakazi wa NSSF

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Kiukweli kwa kashfa inayoenea kwa kasi kuhusu HR wa NSSF na malalamiko ya watu mbalimbali ndani ya Dar na mikoani.

Naomba mh waziri kwa mamlaka uliopewa kukagua wafanyakazi wote wa NSSF na vyeti vyao kama ni halali na je elimu walionayo inaendana na position waliokuwepo.

Tafadhali mapema mh waziri kabla watu awajaibua kilio kwenye ofisi zako.
 
Naona wengi wanaondoka au wameshaondoka na Dr. ama kweli ngoma ikivuma sana mwisho wake ni kupasuka katikati ya sherehe,sikutarajia kushuhudia haya yafanywayo sasa.
 
Kiukweli utendaji kazi wa baadhi ya wafanyakazi wa nssf unaondoa dhana nzima ya serikali ya awamu ya tano.
Leo nimeenda pale NSSF Temeke (Quality Centre) baada ya kuzungushwa mwezi mzima kupata malipo ya fao la kujitoa . Bila kupewa sababu ya msingi naambiwa malipo hayajakamilika mpk baada ya wiki mbili. Mbaya zaidi yule dada alinijibu kwa nyodo sana nilipotaka kujua tatizo.
Kiukweli kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia shirika hili.
 
Kiukweli kwa kashfa inayoenea kwa kasi kuhusu HR wa NSSF na malalamiko ya watu mbalimbali ndani ya Dar na mikoani.

Naomba mh waziri kwa mamlaka uliopewa kukagua wafanyakazi wote wa NSSF na vyeti vyao kama ni halali na je elimu walionayo inaendana na position waliokuwepo.

Tafadhali mapema mh waziri kabla watu awajaibua kilio kwenye ofisi zako.
Mimi naona baada ya zoezi la wafanyakazi hewa zoezi linalofuata liwe la ukaguzi wa vyeti bandia ili kusafisha serikali na kuondoa watumishi wababaishaji.Ninaamini nusu ya wafanyakazi wa serikali na mashirika ya umma watakimbia ofisi.
 
Kila sector kufanyike ukaguzi wa vyeti...

NSSF
PPF
PSPF
LAPF
HALMASHAURI ZOTE
JWTZ
POLISI
MAGEREZA
FIRE...

tutaheshimiana tu
 
Toba wazr akienda kagua pale nakuhakikishia 3/4 ya wafanyakazi hawana sifa kabsaa, labda sifa ya kuswa...

Polisi akija kukagua kwako una haki ya kumkagua kwanza yeye kujiridhisha. Hiyo formula ikitumika kwa huyo Waziri wako Uchaguzi mdogo Jimboni lazima urudiwe!
 
Kila sector kufanyike ukaguzi wa vyeti...

NSSF
PPF
PSPF
LAPF
HALMASHAURI ZOTE
JWTZ
POLISI
MAGEREZA
FIRE...

tutaheshimiana tu
Kwenye Wizara wengi wanatumia vyeti Feki na majina ya watu wengine Kwa wale wenye vyeti vya Ukweli , wengi walinunua vyeti Olijino vya watu wanatumia majina Yao huku majina Yao harisi yakiwa Siri zao na familia zao .
 
Kiukweli kwa kashfa inayoenea kwa kasi kuhusu HR wa NSSF na malalamiko ya watu mbalimbali ndani ya Dar na mikoani.

Naomba mh waziri kwa mamlaka uliopewa kukagua wafanyakazi wote wa NSSF na vyeti vyao kama ni halali na je elimu walionayo inaendana na position waliokuwepo.

Tafadhali mapema mh waziri kabla watu awajaibua kilio kwenye ofisi zako.
Huo ukaguzi wa vyeti ni vigumu kuwabaini wengi kutokana na wale wenye pesa kupenyeza vyeti vyao kule baraza la mitihani na kuonekana kwenye list ya Wamiliki harisi, Kukagua vyeti pekee ni vigumu kuwabaini Wasomi feki , wakitaka kupata Ukweli wafanye Uchunguzi wa kiina Kwa wale wanaowahisi Elilu zao ni full magumashi .
 
Kiukweli utendaji kazi wa baadhi ya wafanyakazi wa nssf unaondoa dhana nzima ya serikali ya awamu ya tano.
Leo nimeenda pale NSSF Temeke (Quality Centre) baada ya kuzungushwa mwezi mzima kupata malipo ya fao la kujitoa . Bila kupewa sababu ya msingi naambiwa malipo hayajakamilika mpk baada ya wiki mbili. Mbaya zaidi yule dada alinijibu kwa nyodo sana nilipotaka kujua tatizo.
Kiukweli kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia shirika hili.
Hawa ndio katoka tu chuo kashikwa mkono kapewa kazi .. Madharau juuu...
 
Ni kweli kabisa kwenye sector ya ualimu na upolisi wengi wana vyeti vya ndugu, jamaa na marafiki na majina yao halisi wametia kampuni
 
Wakati wa mwezi wa Ramadhani, wakuu wengi wa nchi za kiarabu huchukua likizo na kwenda ulaya. Utakuta wamekodi hotel yote au floor nzima wanakula bata hadi nguruwe.

Uislam siyo uarabu...

Uislam as a religion unakataaa zinaaa...pombeee...ushogaa ambao huko upande wa pili unabarikiwa kanisanii...unakataza kamariii....ribaaa...wiziii...ufisadiii...mauajiii...kuabudu masanamuuu...ambao huko upande wa pili mmeyatundika hadi kwenye nyumba zenu za ibadaaa...inakataza kula vibuduuu...mizogaaa...najis kama nguruweee...na vingine vingiii...

Kuwa muarabu siyo kuwa muislam...wapo waarabu weengi ni wakristo...wapagani na kadhalika...

Uislam siyo dini ya kiarabu...uislam ni dini ya walimwengu wote...Period..!
 
Kiukweli shida
Kiukweli utendaji kazi wa baadhi ya wafanyakazi wa nssf unaondoa dhana nzima ya serikali ya awamu ya tano.
Leo nimeenda pale NSSF Temeke (Quality Centre) baada ya kuzungushwa mwezi mzima kupata malipo ya fao la kujitoa . Bila kupewa sababu ya msingi naambiwa malipo hayajakamilika mpk baada ya wiki mbili. Mbaya zaidi yule dada alinijibu kwa nyodo sana nilipotaka kujua tatizo.
Kiukweli kuna haja ya mamlaka husika kuliangazia shirika hili.
Kama yakoo wanataka helaa ndio wakupe cheki niliwahi on a wanavyozungushwa watu walipokuwa pale tazara zamani new wako azam TV ..ni mfumo wakujiaminisha bila hela watu awapewi chekizao huu unatakiwa ufe
 
Naona wafanyakazi wa nssf naona matumbo joto sasa hivi, tulieni!
Wafanyakazi was NSSF wanaboa sana kwa kweli. Yaani wanaona wateja wao wote ni wapuuzi wakati sote tunategemeana. Na zaidi wao wapo kwa ajiri yetu na sisi hatupo kwa ajiri yao.

Wanahitaji kubadilika sana kwa kweli.
 
Yyaaani ka close mwenyewe kama ametoa chek
Naona wafanyakazi wa nssf naona matumbo joto sasa hivi, tulieni!
Mbona cheki za watu amtoi haraka hivi infact nimeamua kuwashtua zoezi linaanza may 4
 
Itakuwa safi sana... kuna watu hawajaenda shule kabisa lakini wameshikilia nafasi kubwa... kakazi kadogo tu kakitokea unaona kabisa mtu kijasho kinamtoka mwisho wa siku unapigwa kalenda system ipo down... akiitwa mwingine anafanya bila wasi wasi...

Kuna mdada mmoja, hapo hapo NSSF ku log in kwenye computer tu hawezi/hajaui kazi yake ni kusumbua watu tu wamfanyie...
 
Polisi akija kukagua kwako una haki ya kumkagua kwanza yeye kujiridhisha. Hiyo formula ikitumika kwa huyo Waziri wako Uchaguzi mdogo Jimboni lazima urudiwe!

Hapo sasa ngoma , kwamba kila upande ni jipu!. Nadhani kazi hiyo ya ukaguzi wa vyeti na uhakiki wa Wafanyakazi wa Umma nchi nzima apewe former CAG Utoh kama chairman na alafu timu ya kufanya nayo kazi aipendekeze mwenyewe na kufanyiwa ukaguzi na TIS ndiyo raisi afanye uteuzi!

Muda mwingine spidi ndogo ya maendeleo na ufanisi mbovu ni ukangaja wa watumishi.
 
Back
Top Bottom