Mh.Tendega na Jimbo la Kalenga

Mh.Tendega na Jimbo la Kalenga

Mkumbapanya

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
66
Reaction score
15
Habari ya Jioni wanajamvi,

Jimbo la Kalenga lina historia ya kipekee katika nchi yetu,ni jimbo ambalo haijawahi tokea mbunge akatawala vipindi viwili mfurulizo,pia ni jimbo ambalo halija wahi pata mmbunge Mwanamke,pia ni Jimbo ambalo kiuchumi lilikuwa juu kitaifa ,kutokana na kutoa mahindi,nyanya na kabichi hasa maeneo ya Magulilwa,Mgama,ng'eza, lyamgungwe,ihemi na sehemu nyingi jimboni pale,ingawa kwa sasa kiuchumi linashuka kwa kasi ya ajabu,nashukuru Chadema wametambua hili mapema nashukuru naambiwa wameweka kambi kwenye kila kata,namshukuru mgombea kuwa ni mhehe halisi anajua mila za kihehe na anajua wahehe wanataka nini!!lakini kwa wahasimu wao yaani Ccm wao wameweka kambi pale Ihemiingawa mgombea haieleweki anaishi wapi! wengine wanasema amefikia Iringa mjini na anaishi hoteli,!

wanajamvi Je yupi ni bora?? na tumsaidiaje ? ili aweze kurudisha Heshima ya Jimbo la Kalenga??

i humbly submit
 
Wanasiasa hawa wa Tanzania hawawezi kuleta maendeleo, si CCM wala upinzani...

Jikomboeni wenyewe kwa kuzingatia kilimo bora, kupeleka watoto shule, fanyeni harambee n.k.

Kuna majimbo yamekuwa na mbunge mmoja tokea siasa za mtu mweusi ziliposhika hatamu nchini, lakini hadi leo hii hawajui maji safi na salama yana muonekano gani, umeme haujawahi kufika kwao n.k
 
unamanisha mgimwa katoka ulaya akafikia hotelini kisha apewe ubunge na kisha apande pipa huyooo mpaka ulaya tena kula bata kaazii kweli kweli
 
Hapo jembe Mama tu, wanakalenga wakifanya vingine kweli nitawadharau sana wahehe.
 
kama vipi tuchange hela huyo kijana arudi kwa wake zake london
 
Wakati huu ni wakati wa vijana huyu mama akalee wajukuu wake tu hakuna jipya.
 
Eti tendega sijui jina gani hili halafu anataka kuwa mbunge bure kabisa.
 
Wakati huu ni wakati wa vijana huyu mama akalee wajukuu wake tu hakuna jipya.

mkuu acha kujitoa akili. vijana wenyewe unaosema ndio akina Kingunge (mbunge wa Bunge la Katiba) aliyeteuliwa na baba yako Kikwete kutoka taasisi ya NPS? Kama ndivyo, hata mimi nakuunga mkono mkuu.
 
Habari ya Jioni wanajamvi,

Jimbo la Kalenga lina historia ya kipekee katika nchi yetu,ni jimbo ambalo haijawahi tokea mbunge akatawala vipindi viwili mfurulizo,pia ni jimbo ambalo halija wahi pata mmbunge Mwanamke,pia ni Jimbo ambalo kiuchumi lilikuwa juu kitaifa ,kutokana na kutoa mahindi,nyanya na kabichi hasa maeneo ya Magulilwa,Mgama,ng'eza, lyamgungwe,ihemi na sehemu nyingi jimboni pale,ingawa kwa sasa kiuchumi linashuka kwa kasi ya ajabu,nashukuru Chadema wametambua hili mapema nashukuru naambiwa wameweka kambi kwenye kila kata,namshukuru mgombea kuwa ni mhehe halisi anajua mila za kihehe na anajua wahehe wanataka nini!!lakini kwa wahasimu wao yaani Ccm wao wameweka kambi pale Ihemiingawa mgombea haieleweki anaishi wapi! wengine wanasema amefikia Iringa mjini na anaishi hoteli,!

wanajamvi Je yupi ni bora?? na tumsaidiaje ? ili aweze kurudisha Heshima ya Jimbo la Kalenga??

i humbly submit

Uhalo huu.......
 
Huyu huyu mkuu anaweza atatenda kama ilivyoandikwa huyu mzee hapana tunataka vijana mkuu bado vichwa vinafanya kazi.

Mbona mkuu wa magamba amemteua Kigunge bunge la katiba wakati vijana wapo. Acha njaa muheshimiwa, usiwe na mapenzi kiasi hicho.
 
Wakati huu ni wakati wa vijana huyu mama akalee wajukuu wake tu hakuna jipya.

Nyinyi ndo mtakaokuja kupakatwa kwa njaa zenu, ila nimeamini njaa ni hatari yani unauza utu kwa buku 7? kweli tuna wakati mgumu sana, tena inawezekana nikijana mwelewa kabisa ila njaa inakutosa
 
Back
Top Bottom