Binafsi sioni la maana alilofanya na alipoteza mwelekeo kwa kumshauri Mkapa auze viwanda vyote na nyumba za serikali tulizojenga kwa kodi zetu kwa ushirikiano na Mwalimu Nyerere kwa bei ya toilet-paper. Leo hii vijana wetu wasingehangaika kutafuta ajira kama siyo yeye na akili zake fupi. Shame on him huyu bwana- shamba!
Ipo wapi kiwira coal mining na mashamba ya Nafco alojigawia na kuyageuza mapori? Angalia, tulikuwa wa kwanza duniani kusafirisha na kuuza mkonge, leo hii yako wapi?
Usiwe unamsifia tu mtu eti kwa kuwa aliwanyima habari na uwazi wa yalikuwa yanatendeka serikalini. Kwangu mie ni shetani tu anajivika sura ya malaika! Hana na hatopata nafasi ya kutuongoza tena nchi hii kwani hayajamtosha aliyotufanyia?
Sidanganyiki!