Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Maskini hawa......Wanajidanganya.
Maskini hawa......Wanajidanganya.
Join Date : 25th February 2012
Posts : 9
It is too early!
Ina maana na Ruge ni SUGU B ?Huyu si yule RUGE B? kama huyu ndio Rais wa Mbeya, I can imagine watu wa Mbeya uwezo wao wa kufikiri ukoje!
Hapana aliyeolewa 'pewa hela' ni SUGU. Mtoaji mahari ni RUGE!Ina maana na Ruge ni SUGU B ?
Mbona mimi mitaa yangu naitwa Rais wa Pesa!!.....
Huyu si yule RUGE B? kama huyu ndio Rais wa Mbeya, I can imagine watu wa Mbeya uwezo wao wa kufikiri ukoje!
Hapana aliyeolewa 'pewa hela' ni SUGU. Mtoaji mahari ni RUGE!
Mkuu Chipolopolo, heshima kwako; kimsingi mimi sikukerwa na muafaka wa SUGU na RUGE. Beef sio issue wala nini, na hata katika dini watu wanatakiwa wapatane. Kinachonikera, ni kuwa kuna unafiki, kwa nini mwafaka huu, ingawa una kila aina ya mlungula watu waunge mkono, wakati ule wa Wanzanzibar, ambao ulipoteza maisha ya watu wengi, waubeze? Huu ni Unafiki na Uzandiki!Kiongozi:Cha maana wamemaliza beef lao salama. Wasongembele.Nchi ni yetu sote.Tuijenge pamoja.
Mkuu Chipolopolo, heshima kwako; kimsingi mimi sikukerwa na muafaka wa SUGU na RUGE. Beef sio issue wala nini, na hata katika dini watu wanatakiwa wapatane. Kinachonikera, ni kuwa kuna unafiki, kwa nini mwafaka huu, ingawa una kila aina ya mlungula watu waunge mkono, wakati ule wa Wanzanzibar, ambao ulipoteza maisha ya watu wengi, waubeze? Huu ni Unafiki na Uzandiki!
Usikubali kwenye open forum kama hizi kichwa chako kionekane debe tupu, hakuna asiyependa muafaka lakini tatizo linakuja je muhafaka huo unaendana na kile ulichokuwa unakipigania? Seif Sharif Hamad huwezi kumfananisha na Raila Odinga wa Kenya, muhafaka wa kenye ni realy power sharing, lakini sio muafaka wa Zanzibar yule Maalim hana maamuzi yoyote ni sawa na karani tu.Mkuu Chipolopolo, heshima kwako; kimsingi mimi sikukerwa na muafaka wa SUGU na RUGE. Beef sio issue wala nini, na hata katika dini watu wanatakiwa wapatane. Kinachonikera, ni kuwa kuna unafiki, kwa nini mwafaka huu, ingawa una kila aina ya mlungula watu waunge mkono, wakati ule wa Wanzanzibar, ambao ulipoteza maisha ya watu wengi, waubeze? Huu ni Unafiki na Uzandiki!