Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,813
Huu ujinga kabisa, kwa hiyo akipokea hizo kadi ndo tumpe kura zetu. Nilitegemea ungetupatia sera alizomwaga. Hii kitu kurudisha na kupokea kadi mbona ipo siku nyingi tu na hakuna impact zozote unazoleta kwa siasa za Tanzania. Zaidi sana huwa ni maigizo watu wakiandaliwa kurudisha.
Muda huu ni kampeni sio ujenzi wa chama, badilikeni, auze sera na kushawishi voters.
Muda huu ni kampeni sio ujenzi wa chama, badilikeni, auze sera na kushawishi voters.