bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,688
Leo asubuhi nimemsikia Mh. Ridhiwani akitoa maelezo yenye kona nyingi mno(meanders) kiasi cha kwamba sikuweza kumwelewa kiukweli.
Kwanza amelaum umma(watanzania) kuwa tuna tunga au kuanzisha hisia na tunaziamini pia akilenga kukanusha tuhuma mbalimbali zinazotolewa juu yake hasa umiliki mali nyingi kupindukia na kuhusishwa na sakata la madawa ya kulevya.
Utetezi wake nimeusikia Clouds FM na East Africa redio pia akionekana kusifia kampeni ya kupambana na madawa huku akiponda njia ya kutangaza majina hadharani ya Mh. MAKONDA akionekana kuungana na tume ya kupambana na dawa za kulevya iliyopewa viongozi wake wateule hivi karibuni.
Utetezi wa mh. Ridhiwani ni wakitoto sana hatoi wala kukanusha nini ni ukweli au kipi ni uongo zaidi ya kusena watu wanachuki na yeye anamiliki mali ambazo hajazitaja wala kukanusha zile ambazo anatuhumiwa na umiliki zikiwemo kampuni ya GSM.
My take mh. Ridhiwani zama hizi za ukweli na uwazi itakuwa vigumu kuficha kila kitu bora funguka tukuelewe otherwise uendelee kujificha kwenye koti la mzee JAKAYA KIKWETE MZEE WAKO. Ila ukweli una tabia moja siku zote kujitenga na uongo.