Mh raisi usipasahau BRELA

Mh raisi usipasahau BRELA

Acha kumsumbua mkuu wewe, tumefunga hatujala hata pilau tunamuombea
 
Tena BRELA kaofisi ka Mwanza ni kama kijiwe tu sijui walipewa vp ofisi hapo kwa mkuu wa mkoa bora wangeenda kukaa milimani huko.Jamaa wapo kama hawapo kazini ni kukamilisha ratiba tu.Kuna mtu anaitwa Kobello huyu jamaa majibu yake na customer care utadhani yeye ndo CEO,anaongea ana hearphone masikioni.Mh Mwijage fumua kabisa hakuna uchumi wa viwanda bila BRELA yenye weledi.
 
Yaani hao kila kona wanalalamikiwa ila bado hawabadiliki.. tukaona wanasifiwa.

Ni kuanzia ngazi za chini hadi hukooo lawama lawama.. hapa kazi tu huwa nasema bado inakazi kufikia malengo yake serikalini.. ila naamini JPM atafikia malengo kwa asilimia kubwa fulani siku moja.. tabu sio yeye tabu ni watendaji na mifumo na wengine kuwa wapo kama vile bado wapo kwenye miaka ya nyuma.. mabadiliko mengi kuanzia teknolojia inawaacha nyuma.. na ubovu wa CS serikalini ni janga haswa kwa maeneo mengi.. wakipata wa kubadili wa zamani wanakasirika na kuwafanyia vitimbi wanaowaita eti wanajifanya wajuaji zaidi yao.
 
Pale Ushirika kuna jamaa mmoja sijui ni Masai yule ana lugha ya kuudhi sana kwa wateja amejawa na jeuri kupita kiasi.
 
Mh raisi fuatilia brela wanakula pesa za wageni hao, wanawanyonya ile mbaya...
 
Back
Top Bottom