Wenye akili walishaona na kujua ukweli, mmebaki ninyi mnaomshauri rais awakamate watu!.....!Mkuu anatakiwa aibuke atolee maelezo au awashughulikie wanao msema ...la sivyo kama hana majibu ,basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! .
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!
Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !
Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!
Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!
Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

..........! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!
Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!
Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?
Khe Khee Kheeee Baba Mchungaji umegonga mtu nyundoThread zingine unaweza kujuta kwanini ulipoteza muda kuifungua! hii ni zaidi ya Crap