Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,675
- 12,433
Nitamwangalia Rais wangu usoni wakati akizungumza na Mazee ya Darisalama,anajitengaje na uchotwaji wa fedha,kwasababu awali alionekana kuwa pamoja na wale waliosema fedha si za serikali,lakini alivyoona upepo umebadilika kapata kigugumizi anatoka kivipi hadi wananchi tumwelewe?
Baadhi ya viashiria vya hali ya wananchi amevipata kupitia matokeo ya chaguzi za serikali za mitaa.
Baadhi ya viashiria vya hali ya wananchi amevipata kupitia matokeo ya chaguzi za serikali za mitaa.