Tulieni dawa iwaingie, malaika lazima aishi kama shetani safarihi hiiMH. RAISI MAGUFULI ATUONGEZEE WATUMISHI MISHAHARA.... MWAKA WA FEDHA 2016/2017 UMESHAANZA LAKINI WATU ATUJAONGEZEWA ATA TSHS. 10...... WATUMISHI TULIMPIGIA KURA KWA WINGI KWA SABABU TULIJUA NI MCHAPA KAZI LAKINI ATUJAONJA MATUNDA YA KUMPA KURA MH. RAIS WETU
Kwa namna ya uandishi wako huu inaonekana huna tija katika nafasi yoyote serikalini hivyo huna haki ya kudai wala kupewa nyongeza. Kwa heri.MH. RAISI MAGUFULI ATUONGEZEE WATUMISHI MISHAHARA.... MWAKA WA FEDHA 2016/2017 UMESHAANZA LAKINI WATU ATUJAONGEZEWA ATA TSHS. 10...... WATUMISHI TULIMPIGIA KURA KWA WINGI KWA SABABU TULIJUA NI MCHAPA KAZI LAKINI ATUJAONJA MATUNDA YA KUMPA KURA MH. RAIS WETU
Miezi minane sasa....huo uhakiki unafanyikaje hadi haushi.....mpaka Leo kama mmeshindwa kumaliza swala la watumishi hewa, wenye vyeti feki....tupeni chetu bhana....we vip huwa hausikiliz matamko ya rais punguza jazba ...had uhakik uishe
kuna la wanafunzi hewa nalo linakuja!Tatizo lenu watumishi mnaharaka sana kuliko hata upesii yenyewe mlishaambiwa kuna mambo bado yanawekwa sawa na watu wako kwenye maandalizi ya kufungasha mafaili kuyapeleka Dodoma sasa wao watafanya mambo mangapi kwa wakati mmoja bado la vyeti feki na tena kuna fununu watumishi wengine wanavyeti vya ndoa na watoto kumbe ni mabachela tu hawana hata watoto nasikia wakimaliza vyeti feki vya masomo watalipitia na hili la kufoji ndoa.Nyie subirieni tu mambo yatakaa sawa punde tu.
Unaona sasa hii nchi ina hela hii wenye mishahara vuteni subira tu mambo yanakuja.kuna la wanafunzi hewa nalo linakuja!