Tangu ameanza hivi vitimbi na kumnadi mwanawe Bashite kuna watu muhimu sana kwa hili Taifa wapo kimya nao sio wengine ni wazee wa Taifa hili.
Sio Mkapa sio nani wote wamekaa kimya. Tena JK kukupoteza zaidi alikuwa wa kwanza kusisimama uongoze 2020 bila kupingwa. Jiulize nini kinafuata na kwanini wamekuwa kimya. Hahahahahhah nasikitika sana Mh Rais nadhani kweli huwoni kilichopo mbele na unacho fanya nikama kile alifanya mfalme Herode kuwamaliza vijana wote wakiume akidhani Yesu atammaliza kumbe laa Yesu bado alikuwa mafichoni na lazima ilikuwa atimize ukombozi kwa wanadamu.
Najuwa hofu imetanda umeanza kuwachinja watu kama Nnape japo hujui wapi Nnape alipo yule unamuona sio Nnape ila saa ya ukomboz ikifika ndipo utajua Mungu alimuhifadhi kwa wakati mubashara.
Hili ni taifa letu mali yetu toka kwa mababu zetu huwezi kututenga huwezi kutumiliki kama kuku bandani we are free free free nation