Mh. Rais ng'oa wakurugenzi wote Shinyanga

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
2,624
3,653
Mh.Raisi ninayo heshima kubwa kukupongeza kwa kazi nzito sana unayoifanya.Kutokana na habari ambayo bado niyamoto ya kumstaafisha ukuu wa mkoa mmoja kwa manufaa ya umma binafsi ninashauri wakurugenzi ambao ndio wanapaswa kujua nani halali na ninani sio halali na kumdanganya bosi wao pia waondoetu kwani wao ndio kiini cha tatizo
 
Back
Top Bottom