ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wana bodi, nimekuwa nikifuatilia Machapisho/mabandiko mbali mbali ya huyu mtangazaji mahiri na Bingwa hapa Tanzania ndugu Pascal mayalla kwa hakika huyu Jamaa ni zaidi ya Muandishi wa habari , mada anazoziwasilisha ni za kitafiti sana, mfano kuna Siku Pascal alileta Mada ya kuhusu "KARMA" kwa kweli alieleza kwa Undani sana kwa kuhusianisha na mpaka na Concept za Physics mfano kanuni ya tatu ya mwendo, nimemfuatilia sana tangu yuko Tvt mpaka mtangazaji wa kujitegemea
Nawasilusha.
Nawasilusha.