Kama title inavyojieleza mh.rais kuna malalamiko mengi katika mamlaka hiyo.ufisadi matumizi mabaya ya Fedha za umma.tunakuomba mh .magufuli uendeleze utumbuaji wa majipu kwenye hii mamlaka.
Ni sawa kama unavyosema mkuu lakini kitendo cha kuchukua hatua za uwajibikaji hakiitaji uwepo wa mamlaka ama wizara ni utashi wa msimamizi muhusika.nimesema rais kwa kuwa naamini anao utashi wa kumwajibisha mtumishi yeyote wa serikali katika nchi hii. We're in time of reforms buddy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.