Mh. Rais Magufuli, tafadhali ajiri walimu

Mh. Rais Magufuli, tafadhali ajiri walimu

Aaaah, mkuuu nina imani naye sana kwa mambo mengi sana, real he deserve much respect for restructuring our thinking patterns. Yes let him go.

Lakini, katika elimu aboreshe kwa kutengeneza mazingira rafiki ya ujifunzaji mkuu. Akishauriwa huwa anakubali na kitenda kama alivyoshauriwa. Ndio maana anapitia sana mitandao ya kijamii ili kujua nini watu wanataka.
angelikua anashauriwa, mpaka sasa angelikua alishatoa ajira za walimu. mwezi wa tisa wabungo sijui wa kamati ya nini walienda kumshauri aruhusu special case ya ajira kwa walimu ktk kipindi cha uhakiki, lijamaa liligoma ng'o!!! huyu mtu hashauriki na ni mtu mbaya sana
 
Nyie walimu ni vituko sana, mbona kada zingine wapo kimya, huku mjini walimu wamezidi idadi Somo moja walimu 100 tena historia, Hamtaki kukaa vijijini mnakimbilia mijini, Hapa walaumu walimu wenzenu waliopita sio serikali
Miaka miwili sasa, bado unashabikia ujinga wa watu wajinga wa kuzuia huduma ktk jamii
 
Nenda kalime kuna wahasibu na maengineer walimaliza tangu 2006 hawana kazi, hii 2017 wewe subiri mpaka 2021
Wewe muhasibu, ulishawahi kusikia ofisi gani imekosa mhasibu? vipi kuhusu wanafunzi kutosoma masomo kwa kutokuepo walimu wa masomo hayo? kwanza tambua serikali ikiajiri walimu, inakua na lengo la kuboresha elimu yetu, na sio tu kuwapa ajira walimu. na akiacha kuajiri walimu, inakua ina lengo ovu la kuzorotesha elimu yetu. kuajiri walimu ni kuboresha huduma kwa wanyonge au watoto wa wanyonge wanaotaabika kwa kukosa huduma ya walimu. sasa wewe muhasibu ni wapi ulisikia jamii inataabika kwa kukosa muhasibu? zezeta kabisa wewe
 
Kwel watoto wanaoanza darasa la kwanza na awali wameongezeka sana kuna shule darasa la awali watoto wapo 300 na ushee afu waalimu wa chechechea ni wawili wameweka shift ila haki ni mbaya hamna lolote linalofanyik
 
Kuwa mpole kijana,nchi hii ni ya kuelekea uchumi wa kati wa viwanda siyo ajira,subiri viwanda vije kwanza ndiyo mdai ajira, amaaaaa.......!
 
mtoa mada acha nidhamu ya uwoga... kama umeamua kufunguka we funguka tu.. sio unafunguka huku unaogopa...!!!!
unazidi kumpa kiki.. binafsi najiona kama sijasoma ila dingi mwache tu... the day are numbered...!!!!
 
Back
Top Bottom