Mh. Rais Magufuli naomba kukumbushia ombi langu

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Dec 17, 2015
795
479
Mh Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli, Salaam. Pole kwa Kazi ngumu ya ujenzi wa taifa. Binafsi mimi nafurahishwa sana na utendaji wako wa kazi na namna unavyotujali na kututhamini wanyonge na hilo nimelithibitisha mara nyingi. Hata Mh Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli Mara nyingi nimetuma maombi ya kutaka kuongea nawe ili niwasilishe dukuduku langu kwako nikiwa na imani unaweza kunisaidia. Hata hivyo sijakata tamaa nina imani ipo siku Mungu atatoa fursa ya mimi kuongea nawe. Nakuombea kwa Mungu akujalie Maisha Marefu yenye mafanikio.
 
Nenda clouds fm ukiwa hewani atakupigia.....
Au kipindi cha shilawadu uwe karibu lazma akucheki
 
Back
Top Bottom