Mh Rais, kuna FAILI liko mezani kwanini Unaliruka? (PART TWO)

Wana bodi wenzangu IGWEEEEEE!

Binafsi sijambo,nina endelea kuomba radhi sanaa katika uandishi wangu najua unatatizo kidgo ila naomba msome na kuelewa kile ninachokikusudia mambo mengine tutalekebisha pole pole!

Mh Rais, uniwie radhi sanaa, jumapili ya leo nikiwa nimepumzika nimejiwa na ndoto,ndoto hii imenijia saa kumi na mbili na nusu kumepanzuka.

MH Rais nmeoneshwa wewe ukiwa ofisini kwako, nimeoneshwa ukiwa mnyonge ambaye umekunja uso uku ukiyatazama MAFAILI YALIYOJAA MEZANI.

Mh Rais,ndoto yangu imeendelea kunionesha ukiwa unafunua MAFAILI MBALIMBALI,HUKU ukiwa unafyonya fyonya.

Nilipokugolea KUNA faili moja ukalifunua nusu,ukaliweka chini,nalo nimeisha lisema kupitia PARTY ONE yangu si jingine ni lire la fedha za wahisani zilizokuja kunusuru viwanda vyetu vilivyoathirika na dodoko la uchumi la Taifa,fedha zile zilipigwa na wajanja tu.

Kwa mbali nikakuona umegusa Faili jingine la KIJANI ili ni FAILI AMBALO lina ORODHA YA VYAMA VYA USHIRIKA AMBAVYO VILIPEWA FEDHA ZA MIKOPO NA VYAMA HIVYO NI HEWA HAVIKO TENA WATU WALIUNDA VYAMA ILI WAPIGE FEDHA NA BAADA YA MABILIONI YA JAKAYA KUINGIA VYAMA HIVYO HAVIKO TENA NA MABILIONI YAMEYEYUKA.

Faili hili bahati nzuri aliyekuwa Waziri wa Kilimo, mzee wetu Stivini Wasira analijua vyema kwani alikuwa miongoni mwa waliosajili vyama hivi, baadae fedha zilivyoingia yeye akiwa waziri wa kilimo kila mwaka alikuwa akija na bajeti ya kulipa madeni ya vyama hivyo huku akijua ni vyama hewa!

Mabilioni yalipigwa, na bado wizara zikiendelea kulipa madeni hewa kupitia vyama hivyo.

Mh Rais, najua faili hili na wewe ukiwa waziri Mh stivin Wasira mulihudumu nae kwa hiyo hilo Faili unalijua. Ndoto yangu inanionesha kila ukitaka kulifunua unaliruka.

Tafadhali TAJA VYAMA HIVYO HEWA VILIVYOKULA HIZO FEDHA ILI WATANZANIA TUVIJUE MAANA WALIOVIANZISHA TUNAISHI NAO HUKU USWAHILINI KILA SIKU WANATUMWAGIA MAJI NA MAGARI YAO KUMBE NI FEDHA ZA UMMA PASPO KUJALI RANGI. TAFADHALI FUNUA HILO FAILI!

MIMI NI sifileo
Kutoka Ntwara
Nkulima wa korosho.
WEWE MUONGO SIO MKAZI WA MTWARA.

NILIDHANI UNGESEMA KUHUSU MALIPO YA KOROSHO,DHURUMA YA KOROSHO,WEWE UNALETA UMBEA MTU ATUMBULIWE.
POPOMA MKUBWA.
 
Mkuu unaota ndoto ambazo zina fact ndani yake.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Shida ni akianza kuwashughulikia watakuja viumbe toka ufipa na dots zao uchwara na kusema ni chuki na visasi. Hii nchi kuiongoza ni ngumu sana.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Ashughukie muuzaji wa nyumba za serikali na aliyenunua kivuko kilichobadilishwa kuwa meli ya kivita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU NIMEONA ULICHOPOST HAKINA TIJA KWA WAKATI HUU.

WATU WANACHOTAKA NI PESA YA KOROSHO,SIO KINGINE.
HALAFU UNAANDIKA UKIWA NJE YA ENEO MASIMULIZI.

KAMA UNATAKA WAHUSIKA WATUMBULIWE MTAJUANA WENYEWE.
HABARI MUHIMU WATU WALIPWE KOROSHO.
Nilichokiandika nina hakika kina tija tatzo ww ni miongoni mwa makangomba mkuu imekula kwako niko mtwara ila si kila mwana ntwara ni nkulima shekhe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani umkubushe na mafaili mengine ya uhuzaji wa nyumba za serikali, yeye akiwa mhusika wakati huo vyema hayafunue na atuoneshe ‘uzalendo’ wake ktk hilo
 
Shida ni akianza kuwashughulikia watakuja viumbe toka ufipa na dots zao uchwara na kusema ni chuki na visasi. Hii nchi kuiongoza ni ngumu sana.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Shida ni kwamba ushuhulikiaji wake hua unachagua rangi ya nguo. Na ikiwa rangi ni mboga mboga tupu kamwe haliguswi.
Muulize Kitwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom